Kukatika kwa umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukatika kwa umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by lukindo, Nov 28, 2011.

 1. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,071
  Trophy Points: 280
  Habari wana jf

  Nimekuwepo Dar es Salaam na na-experience mgao wa umeme wa mara kwa mara. Hii imekuwa mitaani (residential places) lakini na mjini pia (katikati ya mji na Kariakoo) kuna ukatikaji usio rasmi. Hivi ninavyoandika umeme huku katikati ya mji hakuna na ilikuwa hivi kwa zaidi ya majuma mawili yaliyopita.

  Sijamuona dada yetu Badra Masoud au Waziri Ngereja wakiongelea tatizo hili kwa siku hizi! Kama sikosei waziri na Tanesco waliwahi hapo nyuma kidogo kusema mgao ulikuwa umeisha (kama sio kupungua).

  Kulikoni, mwenye taarifa na kinachoendelea naomba atujuze ili tuweze kupanga ratiba hizi za 'mateso'.

  Inasikitisha!!!.
   
 2. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pumbaf tu hao hata huku k'nyama kwa siku unazima na kuwaka hata mara tano....
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  wakati mwingine ni matatizo ya kiufundi, nayo yako mengi kuliko mgawo unaotokana na kwisha kwa maji
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Huku arusha_maeneo ya sakina hakuna umeme toka juzi usiku,...yaani ni tanesco ni full ujinga
   
 5. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #5
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hivi hii nchi inaelekea wapi?

  [​IMG]
  Il Gambino.
   
Loading...