Ajali nyingine tena

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Hii ni ajali ya jana pale karibu na kanisa la fgbf karibu na mlima city
 
Jana nilikua Lushoto-Tanga nikakuta basi la kampuni ya Fasaha/Shabaha kama sijakosea limedumbukia kwenye korongo kwenye milima ya usambara
 
Taarifa yako ni robo. Fafanua viguri, ukubwa wa ajali. Maana inaweza kuwa wamepigana pass.
 
Hii ni ajali ya jana pale karibu na kanisa la fgbf karibu na mlima city
aina mpya ya utoaji taarifa..........hii nimeiona sehemu moja tu.........KURUGENZI YA MAWASILIANO IKULU.
 
Hii ni ajali ya jana pale karibu na kanisa la fgbf karibu na mlima city

Hizi herufi na matarakimu ziliozotengeneza hazitoshi kufanya thread ... ndio maana... JAMBO HILI... haikuepushi WEWE kutiliwa mashaka uwezo wako!! ..Kifikra, Kiakili na kiufahamu PIA!!
 
Back
Top Bottom