Sunday, 11 December 2011 09:45
Na Sanjito Msafiri, Kibaha
MADAKTARI na wauguzi wa Kituo cha Afya Muhoro, Rufiji mkoani Pwani wanalazimika kutumia mwanga wa tochi ya simu ya mkononi usiku...
Hi JF members
Jana tulikuwa tukiadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika kwa mtazamo wangu kupitia Star TV Sherehe hizi
Mwanza - zilidoda watu wachache walijitokeza uwanjani
Tabora - zilifana...
leo nimeshuhudia jamaa amekoswa kidogo kuwekwa kwenye tairi baada ya kuitiwa kelele za mwizi. Huyu jamaa alikuja kwa jirani yetu kudai pesa yake aliyokuwa anamdai huyo kibosile ambaye kwa sasa...
TIME PUBLISHED - Sunday, December 11, 2011, 6:00 am
TODAYS SCRIPTURE
With him is an arm of flesh; but with us is the LORD our God, to help us and to fight our battles.
(2 Chronicles 32:8...
Narudia tena Kauli yangu,Maadhimisho haya. Ya miaka 50 ya uhuru...ni genge la watu fulani kufanikisha wizi wao...
Watu wamenunua magari
Watu wamejenga manyumba
Wameongeza mifugo
Wamelipia ada...
Kile kipindi kinacho onyesha maisha halisi ya mtanzania ndo kinaendelea sasa hivi startv. hiki kipindi mi naona kinamuumbua Rais wetu kikwete sababu ni tofauti na miaka hamsini ya TUMETHUBUTU...
Katika hoyuba yake kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru (wa Tanganyika au Tanzania) Raisi Dr Dr Kikwete ameendelea kulalamika ya kuwa hali mbaya ya uchumi wa Tanzania inatokana na misingi...
Nchi hii wajanja wengi. Niliwahi kusikia lile jengo la airtel walifunga mkataba na mwenye kiwanja,mkataba wa miaka zaidi ya mia moja.migodi ya dhahabu miaka 80-100 au jamani nchi ndo inauzwa nusu...
Ajali imetokea japan hivi karibuni na imehusisha Ferrari 8,Mercedes Benz 3 na Lamborgini moja. Magari yote haya ni ya kifahari na ya gharama kubwa. Hasara inakadiriwa kufikia $ 3.85 millioni. The...
Wale wote wenye Mawazo finyu ya kujiona wao wana uchungu na nchi hi mpaka kuwaza kuifia ni wazi mtindio wao utakuwa umekaa vibaya.
Waliopewa dhamana na wananchi ya kuilinda,kuitetea kwa hali na...
Ajali imetokea Japan na imehusisha magari 8 aina ya Ferrasis,3 aina ya Mercedes Benz na Lomborgini moja. Magari yote haya ni ya bei mbaya ,hasara inakadiriwa kufikia $ 3.85 milioni. Source BBC.
Watu wanne wamepoteza maisha papo hapo baada ya taxi kuvaana uso kwa uso na lori maeneo ya kinyanambo,mafinga mkoani iringa.Ajali imetokea baada ya taxi kujaribu kumkwepa mwenda kwa baiskeli na...
Muhali gani wanajamvi, ktk tafakari yangu ya miaka 50 iliyosheherekewa hapo juzi tunewaza kuuweka kwenye usemi upi wenyekuleta maana? Maana mpaka hapa tulipo ni matajiri wa raisilimali ila kuna...
Vyoo ni muhimu kwa binadamu,na kila familia inatakiwa iwe na vyoo.Jana,Mgambo wamelizimika kukamata familia zaidi ya kumi katika vijiji vinne vya mkoani Tanga kwa kukosa vyoo,walivyohojiwa...
Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya ndege isiyo na rubani ya Marekani katika anga ya Iran na kusema Iran haitaacha uhasimu huo wa maadui bila jibu...
Tunaamini unaweza,nakumbuka ulitutafutia vijana ajira kwenye kiwanda cha TPC mwaka 2000 wengi tulinufaika nazo ingawa ni wachache.Tunaomba tuwe na kiwanda chetu hapa wiliyani, hatakwakupitia kwa...
kuna mabadiliko yametokea ghafla kwenye maisha yangu,labda sala za mke wangu zimeniokoa,nilikuwa teja wa jf kwa kipindi kirefu na hiyo hali iliniletea kutokuelewana na familia yangu hasa mama...
:shock:Waheshimiwa wa idara ya maji Mwanza Hamjambo? Sasa yapata wiki nzima sisi wateja wenu wa maeneo ya Nganza na Malimbe - Nyegezi hatuna maji. Nashindwa kuelewa nini hasa tatizo na nikubwa...