Je tumeadimisha miaka 50 ya UHURU au ya UHUNI?

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
Muhali gani wanajamvi, ktk tafakari yangu ya miaka 50 iliyosheherekewa hapo juzi tunewaza kuuweka kwenye usemi upi wenyekuleta maana? Maana mpaka hapa tulipo ni matajiri wa raisilimali ila kuna wahuni ambao kwa maslahi yao binafsi wameingiza nchi kwenye mikataba feki, je ktk sherekea yetu ni miaka 50 ya UHURU au UHUNI?
 
Back
Top Bottom