Mazishi ya mwanafunzi aliyejipiga Risasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mazishi ya mwanafunzi aliyejipiga Risasi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Laptani, Jan 21, 2012.

 1. L

  Laptani Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Baada ya mwendo wa saa moja kwa gari tumefika Mererani eneo kitongoji maarufu cha Cairo ambako John Justin NDossi atapumzishwa milele.
  Itakumbukwa marehemu alijipiga risasi kifuani nyumbani kwao Levolosi Arusha baada ya kutuhumiwa kuiba dola 1500 za baba yake.
  REST IN PEACE JOHN.
   
 2. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sasa, kujiua ndio kunarudisha hizo $ 1500 au kunaondoa tuhuma zinazomkabili au kunatoa somo kwa babake na watu wengine kwa ujumla wasiwatuhumu watoto wao au ...? Mambo mengine yanahitaji kutafakari kwa kina kabla ya kuchukuwa maamuzi magumu.
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  Huyo baba alimuua mwenyewe kijana wake. hainiingii akilini kwamba alijiua mwenyewe.
   
 4. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hivi jamani uchunguzi unaendeleaje? Mtu ajipige risasi halafu atembee toka chumbani kuja sebuleni ndo aanguke hapo?

  Wababa wengine mabazazi huwezi kujua...

  Poleni wafiwa.
   
 5. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160

  Halafu mtoto wa miaka 17 akikuibia unashindwaje kujua mpaka manenoooo? Hapa tunafanya assumptions zisizo na majibu. Inasemekana mama alirudi akakuta gate limefungwa kwa ndani ina maana alilifunga nani?

  Nyumba zina siri nzito sana. Kuna msiba ulitokea mtoto akanywa sumu akafa. Kumbe ni maneno ya baba na alimpa maneno makali mtoto akajisumu. Kila mtu akajua. Basi msibani baba akipita tu mama akimuona bab anapiga yowe uuuuwiii. Basi mpk baba akawa anavizia hivi mama asimuone akipita mbele yake. Makaburini wakakaa mbalimbali. Wakaja wakapatana baadaye maisha yakaendelea.
   
 6. Wizzo

  Wizzo JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  yule dogo mi namfaham vizur alikua 2nasomanae star sec shule iko karibu na mererani panaitwa mbuguni,dogo alifukuzwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu ikiwemo matumiz ya bangi na pombe so inawezekana jamaa bangi zilimzid akaamua kujishuti.
  By the way kifo kile kinautata only baba yake na mama ndo wanajua siri
   
 7. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #7
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi mwizi hawezi kujipiga risasi mwenyewe. Hizo ni hasira za babaya akajikuta tu anamchabanga mwanawe. Aisee!
   
 8. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #8
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  rip kijana
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Jan 21, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Mh poleni wafiwa ila je ni kweli aliiba hizo pesa?
   
 10. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #10
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...alikuwa na haraka sana nae,
   
 11. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #11
  Jan 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Siamini aisee,kujishuti chumbani zeni unamfungulia dingi geti finale unafia sebuleni!!??anyway RIP kijana
   
 12. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #12
  Jan 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Siamini aisee,kujishuti chumbani zeni unamfungulia dingi geti finale unafia sebuleni!!??anyway RIP kijana
   
 13. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #13
  Jan 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Siamini aisee,kujishuti chumbani zeni unamfungulia dingi geti finale unafia sebuleni!!??anyway RIP kijana
   
 14. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #14
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  huyo mwanafunzi aliyejiua ni mjinga sana,ngoja akapumzike kwa amani
   
 15. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #15
  Jan 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nasikia alikuwa mwanafunzi wa Edmund Rice Arusha? Ni msiba mkubwa kwa my old school Edmund Rice,ila suala la kujiua ni la kushangaza.Ila kama alikuwa mvuta bangi na mlevi sishangai,labda ni pepo lilikuwa ndani mwake.R.I.P
   
Loading...