Hivi Tishio la Al Shabaab Limeisha au Ni Pale CHADEMA Inapotaka Kuandamana tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Tishio la Al Shabaab Limeisha au Ni Pale CHADEMA Inapotaka Kuandamana tu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LordJustice1, Jan 21, 2012.

 1. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jana tumeona maandamano ya wanafunzi wa Kiislamu lakini hatujasikia taarifa za Kiintelinjensia zikidai kwamba kuna tishio la Al Shabaab. Hivi tishio hili limeisha au linajitokeza pale tu kunapotokea maandamano ya CHADEMA tu? Au tuseme "zimwi likujualo halikuli likakwisha?"
   
Loading...