Tanzania inazama baharini au ndiyo Mwisho wa dunia???

greenstar

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
390
53
Tanzania ya Watanganyika ipo hoi kwa kila kitu,Mfumko wa bei unazidi kupaa kama vile hatuna wasomi waliobobea masuala ya UCHUMI? wapi Pr.Lipumba,Pr.Ndullu,Pr.Safari
,Dr.Kitine,Dr.Bilal,Pr.Luhanga
,Dr.Bana? Wanaharakati wanaweza kupindua NCHI lakini si Kujenga UCHUMI endelevu wala tusiwategemee wanasiasa wa chama chochote kwamba watabadilisha nchi hii ya magumashi.Mawaziri wanaumwa lakini bado wapo
kazini tu bila kujali miradi na programme za maendeleo nazo zinakufa.Mkuu wa nchi,macho yetu yapo kwako uliomba dhamana hii kwa nguvu zote sasa zamu yako kuonyesha Watanzania UNAWEZA kwa vitendo siyo DIPLOMASIA za kuwafariji wananchi.JARIBU kusimama peke yako bila msaada wa washauri wako tuone TANZANIA MPYA inazaliwa sasa.PIA nawapongeza kwa hatua za kuzuia wabunge wa CCM wasigombee vyeo ndani ya CHAMA.......? Mh.Lukuvi tunataka ripoti ya madawa ya kulevya au ndiyo kusema hakuna wakumnyoshea kidole ?
:embarassed2::embarassed2::lol::lol::alien:
 
kwani kuna waziri aliteuliwa mgonjwa???? au nawewe unataka ukiumwa ufukuzwe kazi???? acha kutuletea siasa hapa bana

hebu tupe mfano wa programe iliyokufa kutokana na waziri kuumwa????
 
inaonekana wewe ni kipofu,wizara zinalegalega kiutendaji ndiyo maana tunasema kuna ombwe la Uongozi.Kama kiongozi ni mzalendo kwelikweli,akiona afya yake haimruhusu kufanya kazi aombe kupumzika kwa mstakabali wa maendeleo ya nchi.Hii ni kwa viongozi wote ,Mawaziri ni miongoni mwa watendaji muhimu sana katika maendeleleo ya nchi! Babu Loliondo wamemtosa sasa wanenda INDIA???? huku wakiacha MUHIMBILI HOSPITAL ikiyumbayumba.Ningekuwa RAIS,wagonjwa wote wangetibiwa MUHIMBILI tuu....

:juggle::juggle:
 
tunasubiri maandamano yasiyo na ukomo kwa nchi nzima yaanze kama masihara,ukitaka kutengeneza lazima uharibu kwanza,watz tukiogopa kuharibu kamwe hatutaweza kuitengeneza nchi yetu,la sivyo tumsubiri kwanza yesu arudi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom