Vigezo vya Marehemu kuagwa Karimjee

Maneno Anania

Member
Jan 18, 2012
51
5
Waungwana WanaJF, naomba kuuliza ni vigezo gani vinavyoangaliwa kwa mtu aliyefariki anastahili kuagwa pale Karimjee kitaifa na kufunikwa bendera ya taifa.
 
1, awe mtumishi wa serikali anayelipwa posho kubwa,
2, awe mwanasiasa (mwizi wa kutumia karatasi)
3, awe tajiri mkubwa
4, .............................
 
Waungwana WanaJF, naomba kuuliza ni vigezo gani vinavyoangaliwa kwa mtu aliyefariki anastahili kuagwa pale Karimjee kitaifa na kufunikwa bendera ya taifa.
Hivi maiti inaagwa ?! ........... kuipatia heshima za mwisho maiti, Tumieni akili kidogo nyie wasomi ! Mko bizee na maiti badala ya kuzika.
 
Nimekuelewa, akili zako ni zile za 'shake well before..........'. Ungefanya hivyo ungeelekeza jibu lako ktk swali.
N
 
Nothing special....sehemu yenye nafasi kubwa panapoweza kukusanyika watu wenye.

Waungwana WanaJF, naomba kuuliza ni vigezo gani vinavyoangaliwa kwa mtu aliyefariki anastahili kuagwa pale Karimjee kitaifa na kufunikwa bendera ya taifa.
 
Ndio wale wale mnaomba kinyago msaada ! Huwezi kuona kuona tofauti ya kuaga maiti !
Swali linataka solutn, take time to understand before creating confusion. Kama huna cha kuchangia acha maana kukaa kimya ni sehemu ya mjadala na una uhuru wa kuanzisha thread inayoendana na kiwango chako cha uelewa.
 
Kigezo muhimu kabisa ni uwe umekufa na kuthibitishwa na daktari kwamba umereach your expiry date on time
 
Swali linataka solutn, take time to understand before creating confusion. Kama huna cha kuchangia acha maana kukaa kimya ni sehemu ya mjadala na una uhuru wa kuanzisha thread inayoendana na kiwango chako cha uelewa.
siwezi kukaa kimya na kupuuzia uzi wa kipuuzi kama huu ! Unalilia wivu maiti !? Au ulitaka babako nae afanyiwe maonyesho Karimjee ! Pathetic !
 
Simple minds discuss people! Hoja ya mimi kulilia maiti inatoka wapi wewe .***nge? Unasubiri nani akuite wewe ni kichaa! Umeingiaje humu na kuwepo humu jamvini kwa maswali yako ya wendawazimu?
Pathetic minds discuss and question dead bodies !
 
Hivi maiti inaagwa ?! ........... kuipatia heshima za mwisho maiti, Tumieni akili kidogo nyie wasomi ! Mko bizee na maiti badala ya kuzika.

Wewe ndiye kilaza hopeless kabisa; Mabedui inajulikana wazi hawakuwa na akili ya kuhifadhi maiti zisiharibike ndio maana wanakimbilia kuzika upesi; Mafarao wa Misri walikuwa na akili kuliko Mabedui wa jangwani ndio maana mola wenu akawambia hao watamhifadhi farao ili leo kilaza kama wewe ukaone maiti ya farao kwenye musium ulipe na hela ili uamni. Soma lile daftari lako utaelewa nachokisema.
 
unavalisha viatu na saa maiti ! Ya Farao ni shule kubwa mgalatia huoni ndani !
 
Hivi maiti inaagwa ?! ........... kuipatia heshima za mwisho maiti, Tumieni akili kidogo nyie wasomi ! Mko bizee na maiti badala ya kuzika.
Ally, hili swali walitakiwa wachangie Wanajf waungwana. Kwa majibu yako wewe siye, kachangie huko kwa wenye tabia yako.
 
Back
Top Bottom