Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wasalam wanabodi, Kwanza nikiwa mshabiki wa Simba napenda kuchukua fursa hii kuwatakia heri mchezo wa leo.naamini kwa uzoefu wa Simba na aina ya wachezaji waliopo sasa tunayo nafasi kuwatambia...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Siwafichi wapendwa wanawake wengi ni wakatili kuliko mbwa ...huku wanapiga makofi wapi umesikia mwanaume amenyonga kichanga?? Wapi umesikia mwanaume amemsumbua mwanaume mwenzake kazini?? Lakini...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa miaka mingi nimekuwa nikiwasikia Madaktari na Walimu wakilalamika waongezewe mshahara na posho.Sio hayo tu hata kama wana madai yao ya malimbikizo ya mishahara au posho yoyote huwa wanapaza...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa marekani John Kennedy(JK) aliamua kufanya uamuzi mgumu wa kuipeleka nchi yake kwenye anga za juu ikiwemo mwezini. Uamuzi ambao umeelezwa na baadhi ya wachambuzi kuwa kati ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Leo nilikuwa pande za kijenge, arusha. Ni kawaida watu kuwa na simu zaidi ya moja yaani simu mbili mpaka tatu. Sasa kuna jamaa ana wallet ( yaan pochi) mbili. Sasa nkajiuliza kwa nn ana pochi...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
nimeona kwenye blog moja,picha ya babuj ,nimeipenda. wenye ujuzi waikopi na kuweka hapa IKO HAPA
1 Reactions
27 Replies
4K Views
nimepita muda wa saa 12 na nusu asubuhi hii eneo la karibu na tabata bima kuna mtu amegongwa na amelala chini na wamemfunika nguo. Bodaboda na watu wamezuia barabara na magari yanazunguka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, npo maeneo ya karibia na mombo hapa kuna lori limepinduka na kuziba barabara hivyo kusababisha foleni kubwa..
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kwa yoyote aliyepo mikumi pale mjini ani inbox
0 Reactions
1 Replies
955 Views
Polisi atinga disko akiwa na SMG Send to a friend Thursday, 01 March 2012 21:01 0digg Daniel Mjema,Moshi POLISI mkoani Kilimanjaro...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwenye mwongozo anisaidie....
0 Reactions
129 Replies
20K Views
yani nimeangalia taharifa ya habari tbc leo,ilikuwa ni vichekesho vitupu. Watangazaji wanaruhusu picha za habari zilizosomwa,matokeo yake camera zinabaki kuwamulika wao,picha yenyewe haiji basi...
0 Reactions
56 Replies
17K Views
jana nilisikia tangazo moja la burudani katika moja ya club hapa dsm redioni ambapo msoma tangazo anasema ''njoo ulione lile dume-dada likiungana na wadada wa khanga moko...'' hiyo ikiwa ni baada...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
You've been warned! Men are more likely to drop dead from a heart attack during extra-marital sex Affairs are often with younger women in unfamiliar settings, which adds extra stress to the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
It was one of the most notorious acts of assassination carried out during the Cold War.Bulgarian dissident Georgi Markov was killed by poison dart filled with ricin and fired from an umbrella in...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Dereva wa DC Mwanga matatani Send to a friend Sunday, 04 March 2012 13:02 0digg Na Daniel Mjema, Moshi DEREVA wa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro, ameingia matatani baada ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nape Moses Nnauye IMANI YA CCM; Rushwa ni adui wa haki.,sitapokea wala kupokea rushwa...! ni imani yetu na muongozo tunaoufuata yeyote aliye nje ya iman hii si mwanaCCM bali ni muasi katika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Airtel kampuni inaheshimika ila kwa siku mbili wameanza kuzingua internet. kwanza huduma ya 2500 ya net wamefunga hii imepelekea wateja elfu tano kuhama kwa siku je wiki pili siku nzima internet...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Angalizo tu wale wapenzi wa maziwa kuna maziwa yana expire 7march tsn supermarket nimepita leo naona yemsheehni mengi tu si mbaya muda bado ila nawaasa muwe makini maziwa hayo aina ya lacnor...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ni mtandao umezidiwa ama??jamani tangu jana napiga naandikiwa error connection nikipigiwa nakuwa kama nimebipiwa alafu mtu anatuma msg mbona simu yako inakata hivi mna matatizo gani jamani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…