Taarifa ya habari TBC..Vichekesho vitupu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taarifa ya habari TBC..Vichekesho vitupu!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mrs ma2mbo, Feb 27, 2012.

 1. Mrs ma2mbo

  Mrs ma2mbo Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yani nimeangalia taharifa ya habari tbc leo,ilikuwa ni vichekesho vitupu.
  Watangazaji wanaruhusu picha za habari zilizosomwa,matokeo yake camera zinabaki kuwamulika wao,picha yenyewe haiji basi wanabaki kukenua meno tu,tabasamu la uzuni ndio linapamba sura zao..
  Hii kitu imekuwa ikijirudiarudia kwa muda mrefu sijui tatizo nini.
   
 2. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  mafundi mitambo wao hawako makini: inawezekana hawana morali na kazi kwasababu ya masurufu wanayopewa kuwa madogo.
   
 3. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hahaha sipati picha wanavokosaga pozi inapotokeaga namna hiyo
   
 4. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,544
  Likes Received: 10,474
  Trophy Points: 280
  hadi mtazamaji unahisi kero.ubaya ni kwamba inatokea kila siku.mi nashauri wasomaji wa habari wakiona kimya wawe wanaita kwa sauti mafundi mitambo labda huwa wanalala
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,531
  Likes Received: 884
  Trophy Points: 280
  the whole TBC management haiko makini
   
 6. Al shabab

  Al shabab Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa jamaa wa TBC hata kiswahili kinawapiga chenga,wananchi wamekwenda kwa mkurugenzi wao kutoa malalamiko,wao wanasema WAMEVAMIA.upotoshaji mtupu!!!!!!!!!
   
 7. CHIEF MP

  CHIEF MP JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 344
  Trophy Points: 180
  Tangu atimuliwe kamanda Tido, tbc na magamba wamebweteka ka maharage ya majuz!Utendaj tatizo, nawashauri taften alternatv ya kuchek NEWS mfn itv, startv n.k inapobid!
   
 8. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  digitali hiyo.......
   
 9. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Hiyo yote ni baada ya mh. Tirdo mhando kuondoka, no moral ktk kazi na inawezekana they are under paid
   
 10. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye wino mzito ni Tido au Tirdo?
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
  Taharifa=taarifa
   
 12. M

  Msee Lekasio Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 13. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mnapenda kulala mika
   
 14. mamLook

  mamLook Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Msg received

  Ubaya zaid hili ni global failure kwa watangazaj kuteleza, refer to youtube uwone how news anchors wanavochemka


  -wadanganyika mVipi !
   
 15. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #15
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
   
 16. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #16
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,576
  Likes Received: 12,860
  Trophy Points: 280
   
 17. P

  Puza Senior Member

  #17
  Feb 28, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa hali hii ni wazi tbc iliondoka na tido wala wasikatae hakuna kipya cha msingi kilichoibuliwa zaid ya madudu tu eti twasema tuna tv ya taifa
   
 18. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  kuajiri kwa kujuana ndio tatizo
  wapo vijana waliosomea shahada za tv and video production nk wako mitaani
  makanjanja ndio wapo studio.
   
 19. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Wamefulia wale...walizoea kubebwa sasa hata mbebaji wao naye hoi..
   
 20. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Angalau ata wangekuwa wanapiga matangazo utakuta wamekaa tuu wanakenua meno.
  Alafu sio mara moja ni mara nyingi tuu!
   
Loading...