Jamani ebu tazama picha ya huyu babu, unaweza kufika hapo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani ebu tazama picha ya huyu babu, unaweza kufika hapo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by qq.com, Mar 1, 2012.

 1. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nimeona kwenye blog moja,picha ya babuj ,nimeipenda.

  wenye ujuzi waikopi na kuweka hapa


  IKO HAPA


  2 UZEE.jpg
   
 2. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  uwezi fika kama kirusi cha hiv kikikukosa, utapitiwa na madawa ya kulevya, pombe, kisukari, presha, ugumu wa maisha, nk.nk.nk.
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  daaah babu kishabend mgongo kudadadeki ...
   
 5. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Life kwa mzee kama huyo alipaswa awe sehem maalum anatunzwa either na serikali au na wajukuu zake
  Kwa kizazi cha sasa na sukari na presha na figo kushindwa kufanya kazi na ukimwi hata nusu ya umri wa huyo babu hatufiki
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Pengine huyo ni miaka 65 tu.
   
 7. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  enhe..gongo zinamaliza wazee! ukimwi nao pia unamaliza watu! cha kushangaza hizi enzi kuna kondom lakini maambukizi ndio yako juu kuliko juu kuliko! Lakini mzee kama huyu hatakiwi kuachwa kama alivyo ingebidi sasa awepo mahali kampumzika akisubiri majaaliwa ya mwenyezi mungu!
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Huyu yaelekea ni mtumwa wa sisiem hata kinua mgongo.
  Nasema hivyo kwa sababu moja na ni hivi,huyu babu hata leo ukimwuliza ni chama gani unaipenda Tanzania hii hakika atakuambia sisiem tu!

  chichiem ni janga kwa Taifa letu!
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  You must be kidding, he could be in his late 90s.!!
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,912
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Haelekei kuwa Mzee sana, labda ugumu wa maisha umemfanya awe jinsi alivyo?
   
 11. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 160
  ...mbona huyu jamaa ni janki kabisa!...kabla ya 2005 m.k.w.er.e kuingia magogo huyu jamaa tulikuwa tupiganae soka hapo Tabata kimanga,tena alikuwa winga teleza...amepinda kwa sababu ya life ngumu aliyosabishwa na huyo mzee wa kuchekacheka...
   
 12. B

  BARCA ON Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  zamani ni zamani na sasa kuna changes nyingi sn kimazingira,vyakula na kuongezeka kwa magonjwa mbalimbali hivyo kupunguza life span
   
 13. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  bora uzee wa huyu babu kuliko maisha ya mtz wa kawaida.yote hii sababu ya serikari yetu kuendeke wanasiasa waka ti nchi zingine uzee ni heshima kibongobongo uzee ni laana
   
 14. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  asikia wakiwa wanawanga huwa wana spidi kali mfano hakuna hivi vizee vya dizaini hii
   
 15. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #15
  Mar 2, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mbona wewe hujapinda?
   
 16. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 160
  ...nilijiunga na CDM...
   
 17. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  umemuuliza ana miaka mingapi? pengine hajafia sabini ila ni shida za maisha zinazochagizwa na awamu ya nne ya bora maisha kwa kila mtanzania.
   
 18. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  anamiaka 60 tu ila hardship ya bongo imempindisha aisee..
   
 19. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33


  • :eyebrows: Heee Babu kala chumvi nyingi huyooo, unaweza ukakuta pamoja na kupinda mgongo lakini kimaumbile yuko fit na wadada wanaweza kukimbiaaaaaa  • :photo:
   
 20. M

  Mussa2000 Senior Member

  #20
  Mar 2, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwah! kwah! kwah! kwah! kwah! i like this! 65 mbona far sana,uswazi dizaini kama hizo zipo hata 40 somethin ila wengi wanakua bado kupinda vetebra.
   
Loading...