Ajali

ECES

Member
Sep 15, 2010
61
24
Wakuu habari zenu, npo maeneo ya karibia na mombo hapa kuna lori limepinduka na kuziba barabara hivyo kusababisha foleni kubwa..
 
watu wamepona? na kwa kuwa uko kwenye tukio ni nini chanzo cha ajali na kama kuna la ziada?.
 
hiyo ajali walikuwa wanahangaikia kulitoa limrkwamisha magari pande zote..lilibeba maji ya Kiimanjaro
 
Kamanda tupe chanzo na ni gari la kampuni gani na hata ikiwezekani ni aina gani ya gari.
 
Ni Tanzania tu ambapo bado watu wanaruhusiwa kuendesha magari wakiwa wamekunywa na kuendesha magari wakiwa wanaongea na simu. Wakati wengi wa madereva barabarani wamepata leseni kupitia kwa wajomba zao polisi.
 
Back
Top Bottom