Kuna mtu amegongwa -Tabata | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna mtu amegongwa -Tabata

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bagain, Mar 4, 2012.

 1. b

  bagain JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 274
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 60
  nimepita muda wa saa 12 na nusu asubuhi hii eneo la karibu na tabata bima kuna mtu amegongwa na amelala chini na wamemfunika nguo.

  Bodaboda na watu wamezuia barabara na magari yanazunguka kidogo ili kupita hapo.

  Hali ya aliyegongwa sijaweza ifahamu ila kulikuwa na damu katikati ya barabara.


  Mwenye taarifa zaidi aijuze jamii.
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ee MUNGU mnusuru aliyegongwa asifariki
   
 3. S

  Shansila Senior Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 189
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii tabia ya kutoa taarifa nusu nusu halafu kuwataka watu wengine watoe taarifa kamili tuiache hasa kwa mambo muhimu jamani.Kama tukio limetokea,na unataka kulitolea taarifa chunguza au uliza upate uhakika then utujuze!Pole kwa aliyepata ajali.
   
 4. N

  Ndole JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kweli mkuu, mimi nimesoma kwa makini lakini sijaambulia kitu zaidi ya mtu amegongwa.
   
 5. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mungu atunusuru na jamaa zetu manake mtu akitoka mzima akirejea mzima unashukuru na ajali hizi..
   
 6. ma2mbo

  ma2mbo JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  sio tabata bima,ni muslim pale ata mie nimeona tukio.
   
 7. papason

  papason JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Ukiona manyoya jua ameliwa huyo,
  RIP!
   
 8. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Ee Mungu iangalie Tanzania, ajali zinatumaliza.
   
Loading...