mhhh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mhhh!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jonogomero, Mar 4, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo nilikuwa pande za kijenge, arusha. Ni kawaida watu kuwa na simu zaidi ya moja yaani simu mbili mpaka tatu. Sasa kuna jamaa ana wallet ( yaan pochi) mbili. Sasa nkajiuliza kwa nn ana pochi mbili aisee, je ana hela nyingi au? Mi sijaelewa
   
 2. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Lazima atakuwa ni police huyo
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Moja ameiiba au kanunua anataka kubadilisha
   
Loading...