Seriously! I want to join freemasonry..

The Priest, freemasonry is the culture freemasons follow. Mzee Mwafrika, unaweza kutuambia kwa nini unataka kujiunga na dhehebu hilo? Unajua kwa hakika ni maadili gani freemasons hutetea? Nimeona documentary kuhusu freemasonry ambayo imenifundisha kwamba kujiunga na hili dhehebu si rahisi. Utahitaji subira na uvumilivu nyingi kwani ni mchakato mrefu. Utaulizwa maswali nyingi pia kwa freemasons kabla ya kupokewa kama new member kwani they'll want to make sure they can trust you. Ni lazima pia umepita umri wa 18. And that's pretty much all i know...Be careful with sects and the like though! It can be extremely dangerous if you don't know what your doing.
 
Kimsingi Freemasons kwangu hawana tofauti na watu kama Wakatoliki, tena Freemason - the part that is publicly known- wako more altruistic kuliko Wakatoliki - the part that is publicly known-.

Wote wanaamini mungu na the supernatural, and that does not impress me much.

Unless unataka kuwatumia kupanda ngazi, which is cheap and despicable, sioni watakuwa na jipya gani.
 
Karibu! Lazima tuangalie ur potential! Vilaza hawakaribishwi!
 
Kimsingi Freemasons kwangu hawana tofauti na watu kama Wakatoliki, tena Freemason - the part that is publicly known- wako more altruistic kuliko Wakatoliki - the part that is publicly known-.

Wote wanaamini mungu na the supernatural, and that does not impress me much.

Unless unataka kuwatumia kupanda ngazi, which is cheap and despicable, sioni watakuwa na jipya gani.

Labda utuelimishe hapo kwenye nyekundu wanashabihiana yapi? Kusema tu wanashabihiana kwa kuamini mungu na the Supernatural hiyo ndio imani ya dini zote zinazotambulika na kukubalika katika jamii. Otherwise wewe unakurupuka tu kuwatukana wakatoliki na kuwafananisha na waabudu mashetani ''free masons'' na kwa lugha nyepesi huna hoja.
 
sina hakika kama ume tumia uwezo wako wa kufikiri au ni mawazo ya m2, ikiwa ni akiri yako ime kutuma huko basi huna budi kufuata maana hata yesu alisema (vya kaisali mpeni kaisali, na vilivyo vyake mungu mpeni mungu_ WARUMI.jpg
 
<span style="color:#00ff00;"></span><strong><span style="color: rgb(0, 255, 0);">SINA HAKIKA KAMA UME TUMIA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI AU NI MAWAZO YA M2, IKIWA NI AKIRI YAKO IME KUTUMA HUKO BASI HUNA BUDI KUFUATA MAANA HATA YESU ALISEMA (VYA KAISALI MPENI KAISALI, NA VILIVYO VYAKE MUNGU MPENI MUNGU_</span></strong><img src="attachment.php?attachmentid=34293&amp;stc=1" attachmentid="34293" alt="" id="vbattach_34293" class="previewthumb"><span style="color:#00ff00;"></span>
 
Back
Top Bottom