Wanawake ni maakatili kuliko mbwa-mzee wa upako live channel ten

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Siwafichi wapendwa wanawake wengi ni wakatili kuliko mbwa ...huku wanapiga makofi
wapi umesikia mwanaume amenyonga kichanga??
Wapi umesikia mwanaume amemsumbua mwanaume mwenzake kazini??
Lakini unapokuta mwanamke anakuwa bosi akiona mwenzie kabadilisha kahanga tu anamwita unabadilisha kwa pesa ipi??

Mi nasema wazi na wanaonchukia wanchukie wanawake wana roho ngumu sana sana..zamani unaweza kumpenda mwanamke ukajitahidi kujipinda uongeze uzao hadi watoto wanne na kufurahia watoto wako
nyumbani

leo vijana wana zaaa wakifkisha watoto watatu wanaanza kujiuliza mungu wangu je wa tatu ni wangu kweli..niwape kisa cha ukweli kuna mama mmoja alioana na mwanaume mwengine mume akaona jamani lazima ni mkweli akamwambia unajua mkewangu naomba nikueleze kitu utansamehe akasema sema tu akasema naona roho yauma nina mtoto niliza nae kabla ya ndoa....akasema ok lakini mbona ukunijulisha akaaenda chumbani..hapo wana watoto watano..mama akarudi akasema sawa akaenda kutengeneza mwenye we kitanda mtoto anakuja aliporudi baba na wa mtoto wake akakuta watoto wawili awapo..alipouliza wako wapi wamjue mwenzie akasema wamechukuliwa na baba yao

ndugu zangu nawaambia leo hii tatizo sio kuzaaaaaaaaaa tu tatizo tunaozaaaaaaa ni watoto wetuuuuuuuu halelluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sisemi kwa nia mbaya nawapenda lakini wanawake muache ukatili jamani ..mnaitaji full delivarence ameeeeeeeeeeeennnnnnnn

tuma sadaka yako
tigo pesa 0713 959573
mpesa 0754 606082
 
Mlio karibu nae
hivi lile pete alilopewa na sheikh yahya amelipeleka wapi juu limepakwa rangi ya kijania......??soon baada ya kufa sheikh yahaya means hassan awezi kumtibu
 
Mlio karibu nae
hivi lile pete alilopewa na sheikh yahya amelipeleka wapi juu limepakwa rangi ya kijania......??soon baada ya kufa sheikh yahaya means hassan awezi kumtibu
Hoja ya msingi ni ukatili wa mwanamke! Pete inahusikaje?
 
Basiasi haya ndo yalikuwa mahubiri au umechukua sehemu tu?kama ndicho alichokuwa akifundisha na kusema haleluya iko kazi!
 
Hao ndo Wagalati bwana ! Wamesoma saaana, wanaenda kuombewa na kutolewa mapepo na si 'kusali na kushukuru !'
 
katika nchi ya kijamaa hakuna haramu maana tunasema sote ni ndugu, wadumu wanandoa hao! Amen
 
Back
Top Bottom