mfanyabiashara mmoja wa biashara ndogondogo eneo la ubungo riverside amegongwa na gari baada ya mapigano kati ya polisi na wafanyabiashara wa eneo hilo na yasemekana kafarik,na mtoto mdogo kapigwa...
fungulia channel ten sasa hivi.kipindi cha hamza kipo hewani..mada ni tamasha la nne la kitaaluma la mwl nyerere....Dr.Mutembei anasema viongozi wa ngazi ya juu wa serikali wanaogopa kuja UDSM...
Kwa muda mrefu sasa waajiri wangu walinipa kibarua na kufanya kazi peke yangu hadi nikafikiria kuomba msaada kutoka kwa mabosi wangu watafute namna ya kuongeza wafanyakazi ili pindi ninapochoka au...
Siasa ni mchezo ambao kila mtu anaupenda hasa wale wakereketwa wa siasa hata mimi pia nimkereketwa wa siasa lakini kunajamba ambalo nimeliona katika siasa ya Tanzania kwa hili lazima niwe wazi...
Hii inaonyesha,jinsi gani wanaweza ndio maana wanakabidhiwa ridhaa kubwa na wananchi kuiongoza nchi.Hii inatufundisha watanzania kuwa,'LETS BELEAVE ON CHANGES ALWAYS'!
habari zenu wana jf wenzangu? Well ninatakiwa kutoa speech yenye kichwa cha habari "TUTARUDISHA VIPI IMANI YA WANANCHI KWA CCM?" so kama mwana ccm mwenzangu mwenye mapenzi mema na chama chetu plz...
Wtz wenzangu
nimekuwa nikijaribu kutafakari, kwa nini nchi yetu haisongi mbele kama ambavyo ingetakiwa kutokana na Mwenyezi Mungu alivyotujalia Utajiri Mwingi Nchi hii.
baadhi ya matatizo yetu...
Jana nilikuwa nafuatilia kipindi cha michezo cha clouds FM ambao walikuwa wanatoa updates za mechi ya Simba na ENTENTE!
Nilisikitishwa na namna watangazaji walivyokuwa wanashangilia Simba...
Wakati Chadema kupitia Mwenyekiti wa Taifa Freeman Mbowe, wamekuwa watetezi wa haki za wanyonge lakini cha kushangaza hadi sasa wafanyakazi wake wa Gazeti la Tanzania Daima, wanalia njaa ya kukosa...
Natoa pendekezo kwa TUME YA TAIFA YA UCHAGUZ(NEC) kwambani jambo la busara kurekodi picha za video,picha hzo zitasaidia sana kuweza kupata ushahidi pindi linapoibuka suala la kukata rufani kwa...
Kumekuwa na mchakato huu wa TCRA kutaka kusitisha matumizi ya mfumo wa 'kawaida' tunaotumia sasa kwenda mfumo wa digital.
Japo kuna faida kitaalamu lakini ni wazi kuwa wananchi na wasambaza...
Christopher Maregesi, Bunda
MWENENDO wa uchaguzi wa viongozi ngazi za shina unaoendelea ndani ya CCM wilayani hapa, unadaiwa kuingia dosari baada ya baadhi ya wanachama wa chama hicho kususia...
Ndugu wana JF
Watanzania kwa ujumla tumekuwa na kasumba kubwa sana kwa kuwadharau na kuwaona wale wajengao nyumba zao kwa kutumia TOFARI za kuchoma eti ni masikini,na ili uheshimike na kudhaminiwa...
LET US CHANGE OUR LIVES THROUGH VOTE! HOW?JUST LISTEN...........................
Wadau wenzangu kwanza kabisa naomba mnipokee humu jamvini,ni mgeni tena bi dada,hoe
mmenipokea kwa moyo mkunjufu...
Habari zenu wana JF. Poleni kwa msiba mzito uliotukumba. Mimi ni mfuatiliaji wa blogs mbalimbali. Shida yangu ni kwamba kila nikitembelea blog naishia kusoma post na comments za watu. Nikijaribu...
Hii picha ilinisikitisha sana, nimeipiga Juzi tu katika hilo eneo la Makuti (Zimbabwe) ni umbali wa Km 63 kutoka Chirundu border post (Border ya Zambia na Zimbabwe)
Katika hicho kibao Mlima...