Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani hii imekaaje kwa hiki ki tv kumkata mbunge shibuda amby alianza tu kuongea au gubu tu!si wenyewe wamejipndkz kurusha mazishi ya Kanumba sa kwnn wanabagua Shibuda
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Inakuwaje mtu anakukuta kwenye foleni ndani ya bank anakwambia nipo nyuma yako.halafu anakwenda kukaa.ikaribia meza anakuja kupanga foleni.kwanini tukupangie foleni.acheni ubinafsi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Matangazo ya mazishi yamekata ghafla wakati Mh. Shibuda akitoa salamu zake - au bahati mbaya tu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndio wakuu, nimesikia mambo mbali mbali kuhusu illuminati n mind control programs kupitia medias mbali mbali. N kuhusu muvi mbali mbali zinazotuandaa kwaajili ya New World Order kwa mfano...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Wadau Nipo ofisini kwangu namalizia viporo vya wiki nzima mara inapigwa simu ya mkononi ya sales manager akiombwa kuzungumza na boss wake mpigaji akidai yeye ni Operations Manager wa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
CLOUDS FM on USTREAM: Clouds FM is a Creative vibrant and forward thinking urban rhythmic contemporary entertainment radio station that broadcast predomina...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkuu wa majeshi mstaafu Mwita Kyaro Is no more.R.I.P
0 Reactions
1 Replies
793 Views
Nakumbua mwanzoni mwa mwaka huu tuliambiwa mafuta yanapanda kwakuwa wafanyabiashara wanapandisha Kiolela kwakuwa hakuna udhibiti wa uagizaji hivyo kila mmoja anapanga bei yake hivyo nibora waagize...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Majambazi watatu wamefanikiwa kutoroka mahakamani leo asubuhi mjini Tabora. Majambazi hao watatu waliopelekwa mahakamani wakiwa vifua wazi, walitoroka baada ya askari waliokuwa wakiwalinda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna hawa wajasilia mali wanaouza madawa ya kichina wanakera. Leo asubuhi nimetumiwa ujumbe kutoka kwa mtu nisiyemfahamu, anasema nimepewa namba yako na mtu furani (anamtaja kwa jina), cha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni orodha fupi ya kusikitisha ya niliyoyaona ktk kambi hizi: 1. Choo kimoja hutumiwa na familia zaidi ya 4, mara nyingi kimejaa au kuvuja pembeni. 2. Maji taka hayana sehemu ya kwenda...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mzee huyu aliwahi kutinga ikulu miaka ya 1990 akaishi Ikulu wakati akiwasilisha lalamiko lake la kunyang'anywa ardhi yake kule shiri njoro(mailisita) Alitikisa tena vyombo vya habari miaka ya 2001...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
od napendekeza utengeneze jukwaa lake maana ss hv kila habari inamuhusu yy upatikanaji wa newz mpya unakuwa taabu sana ili kila anaefikiria kutupa post yake aende huko kwenye jukwaa la kanumba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kupata matatizo ya ndege ni wakati muafaka sas serikali kutamka wameandaaaje kuisaidia atcl kupata ndege nyingine ni ukweli halisi sasa atcl aina ndege tena na ni wakati muafaka wa...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Watu nyomi leaders club, pameshafurika na bado wanaendelea kujaa. Jua kali but hakuna anaejali. Mtu wa watu SK, R.I.P
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk. RIP KANUMBA
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesikia watu zaidi ya wanne wanaosikitika kufariki kwa Kanumba, FINE! Kilichonishangaza walikuwa wanathubutu kutaja jina msanii mwingine ambaye wanadhani angekufa badala yake, Sasa mambo gani hayo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mi kuna mada ilikuwa inahusu sehemu yangu ya kazi, taasisi yangu ilichanwachanwa vibaya jamvini ndo nikaamue nijoin. wewe je?
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Leo naomba tujadili usalama wa maisha yetu. 1)Tuseme Umepanda basi unaelekea mwanza. Huko Barabarani hakuna sheria za uendeshaji high_way (na kama zipo hazifuatwi). Uko kwenye basi na dereva...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Source ITV Hivi kumbe hata wenyeviti wa vyama nao wanatumia madaraka yao kuiwajibisha dora kama mwenyekiti wa ccm mkoa wa morogoro (Mr. Kingu) kumchapa askari wa usalama barabarani kisa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…