News Alert: Majambazi watoroka mahakamani Tabora. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

News Alert: Majambazi watoroka mahakamani Tabora.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Consigliere, Apr 10, 2012.

 1. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,069
  Likes Received: 7,547
  Trophy Points: 280
  Majambazi watatu wamefanikiwa kutoroka mahakamani leo asubuhi mjini Tabora.
  Majambazi hao watatu waliopelekwa mahakamani wakiwa vifua wazi, walitoroka baada ya askari waliokuwa wakiwalinda kuzembea a hivyo kuacha upenyo. Baada ya kutoroka askari walianza kuwafukuza majambazi hao huku wakirusha risasi hovyo na kuzua taharuki kubwa kwa watu waliokuwa wakiendelea shughuli zao, lakini kwa msaada wa raia polisi walifanikiwa kuwakamata majambazi wawili na mmoja kufanikiwa kutoroka kabisa na juhudi za kumsaka zinaendelea.

  MTU MMOJA AJERUHIWA MDOMONI.
  Katika sakata hilo lilopelekea askari kurusha risasi, kijana mmoja aliekuwa kwenye kibanda chake cha Mpesa, amejeruhiwa vibaya na risasi ya askari hao iliyompiga mdomoni
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kweli tuna maaskari jamani..duh!!
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Dili limefeli kwa 73%!!!
   
Loading...