Mwanzoni walikuwepo millenium tower, sasa wamehamia ubungo plaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanzoni walikuwepo millenium tower, sasa wamehamia ubungo plaza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Head teacher, Apr 9, 2012.

 1. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kuna hawa wajasilia mali wanaouza madawa ya kichina wanakera. Leo asubuhi nimetumiwa ujumbe kutoka kwa mtu nisiyemfahamu, anasema nimepewa namba yako na mtu furani (anamtaja kwa jina), cha kushangaza hata huyo aliyempa namba yangu naye simfahamu.

  Akaandika kampuni yetu inataka kukuajiri utalipwa laki 4 kwa wiki. Utafanya kazi yako muda wa ziada. Kwa maelezo zaidi fika ofisi za kampuni yetu ipo ubungo plaza.

  Nilimchukua na rafiki yangu kwenda hapo u-plaza. Kumbe ofisi yenyewe ni ukumbi wa mikutano pale plaza. Nilivyoingia ndani duh umejaza majanki wanasotea ajira.

  Kufuatilia , kumbe ajira yenyewe ni kutwa miguu mitaani kama umefungwa pistoni kuuza sabuni, kolgate, na vicks za mafua mitaani, harafu wanataka uwe mwongeaji kama ulimi umefungwa mota.


  Daah, haya makampuni yanatesa vijana wenzetu.
  Nikasepa. Tena zile lifti pale plaza zina gia! Ni speed 100
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Ungefanya 2 mpwa
   
 3. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndio bongo maisha plus kila siku sinema nyingine
   
 4. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo wasio na ajira wanageuzwa mobile shops/groceries
   
 5. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hao jamaa ni wazushi kinoma,akili za kuambiwa changanya na zako.
   
Loading...