Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,562
- 986
Hii ni orodha fupi ya kusikitisha ya niliyoyaona ktk kambi hizi:
1. Choo kimoja hutumiwa na familia zaidi ya 4, mara nyingi kimejaa au kuvuja pembeni.
2. Maji taka hayana sehemu ya kwenda, hutengeneza tope ktk mitaa ya kambi hizi linalosababisha BATA kushamili, kila baada ya nyumba 2 ya 3 kuna bata.
3. Nyumba nyingi zina vyumba 2 kama familia ina watoto wa kike na kiume hapo inakuwa noma kweli.
Mwisho ningeiomba serikali iboreshe kambi hizi.