Kama Wacko Jacko vile

Pure Mathematics

Senior Member
Mar 8, 2012
174
52
Watu nyomi leaders club, pameshafurika na bado wanaendelea kujaa. Jua kali but hakuna anaejali. Mtu wa watu SK, R.I.P
 
Mtu wa watu,wenyewivu wajinyonge.MLM Mwakasege alishawahi kusema fikiria ukifa utaacha mark gani kwa jamii?kweli Kanumba aligusa mioyo ya watu
 
Mtu wa watu,wenyewivu wajinyonge.MLM Mwakasege alishawahi kusema fikiria ukifa utaacha mark gani kwa jamii?kweli Kanumba aligusa mioyo ya watu

hivi unaweza kuona wivu m2 akizikwa na watu wengi? au mimi ndio sijaelewa!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Back
Top Bottom