Foleni za bank | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Foleni za bank

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Donkey, Apr 10, 2012.

 1. Donkey

  Donkey JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 676
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 80
  Inakuwaje mtu anakukuta kwenye foleni ndani ya bank anakwambia nipo nyuma yako.halafu anakwenda kukaa.ikaribia meza anakuja kupanga foleni.kwanini tukupangie foleni.acheni ubinafsi
   
 2. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Inategemea na mtu mwenyewe, pengine ana matatizo hawezi kusimama muda mrefu (km. uzee, ugonjwa nk) na watu wengine ustaarabu umewapitia pembeni. Pamoja na hayo kwa kweli inakera sana unavyokwenda kupanga foleni kukiwa na watu wachache halafu kila baada ya muda mtu anaongezeka mtu mbele ya foleni kwa madai kwamba alikuwepo...!! Katika nchi/benki nyingine unapoingia unapewa namba, unakaa katika kiti, ikifika zamu yako namba yako inatokea na kakengele kanapigwa juu ya Teller ye yote ndio unakwenda kuhudumiwa, hakuna kupumuliana kwenye masikio.
   
 3. A

  Andre02150 JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  tatizo letu watz hatutaki kubadilika..matokeo yake tunaishia kufanya kila ki2 aidha kwa kuiga, au kwa kufuata mazoea...je kwani lazima uendeshe shughuli zako za kibenki crdb/nbc/nmb? ..manake hizi ni benki zinazoongoza kwa foleni hapa tz...cha msingi ni mtu kufanya upembuzi yakinifu na kuainisha ni benki gani unahitaji kufanya nayo mahusiano ya kifedha pasipo kuwekwa kwenye foleni kwa masaa kadhaa.
   
 4. The FaMa

  The FaMa Senior Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii system ya kupewa namba wanaifanya pale CRDB Azikiwe, opp Posta mpya. Ni utaratibu mzuri, hakuna kubebana kwenye foleni. Ni vema benki zingine au watoa huduma kwa wananchi kwa utaratibu wa foleni, wakatumia utaratibu huu.Unasaidia pia kujua kwa siku ni idadi gani ya wateja mnawahudumia na hivyo kuwapa picha ya kuboresha au kuimarisha utoaji huduma.
   
Loading...