Mzee maarufu wa Mailisita Joachimu Lakindi kwayu afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee maarufu wa Mailisita Joachimu Lakindi kwayu afariki dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by richone, Apr 10, 2012.

 1. r

  richone Senior Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mzee huyu aliwahi kutinga ikulu miaka ya 1990 akaishi Ikulu wakati akiwasilisha lalamiko lake la kunyang'anywa ardhi yake kule shiri njoro(mailisita)
  Alitikisa tena vyombo vya habari miaka ya 2001 pale alipoamua kujitengenezea jeneza lake na kulipeleka nyumbani kwake akisema hayuko tayari kumbebesha mtu gharama zozote za kumzika.
  Vitukoo vya mzee huyu vilitia fora pale alipoamua kujenga nyumba juu ya mti na akawa anaishi huko kama nyani. watoto walipomuomba wamjengee nyumba alikataa akasema ataishi juu ya mti huku akisema kuna kontena alilokuwa amemuagiza Padre Urio msaidizi wa askofu wa jimbo katoliki la moshi amtengenezee ambapo padre urio alisema litakmilika muda sii mrefu.
  ninawapa pole watoto,wajukuu na wale wote wanaoishi Shiri njoro. namkaribisha kikwete ahudhurie maziko kwani ndio tupo kwenye maandalizi ila tunamuomba asiufanye msiba huu kuwa wa kitaifa kama anavyokurupuka.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  duu kumbeeee RIP lakundi..
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Pole kwa waliofiwa.

  JK aufanye wakitaifa kwa lipi?
   
 4. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,345
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kama aliwahi kuishi mtini Wasira atawasili hapo hivi punde
   
Loading...