Nyomi ikielekea leaders

Nyomi ikielekea leaders

Mwana kinyonga

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
377
Reaction score
227
Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk.
RIP KANUMBA
 
Tumia Visual aids!...kuongea bila vielelezo wakati unaweza kufanya hivyo hata kwa hiyo simu ya Techno ni kama unampigia mbuzi gitaa!
 
Yaani huu umati ni mkubwa mno, sasa hapo patatosha kweli?
 
Back
Top Bottom