Mod tunaomba utengeneze jukwaa la Kanumba kuepusha dublicate za habari zake maana kila topic yeye!

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
od napendekeza utengeneze jukwaa lake maana ss hv kila habari inamuhusu yy upatikanaji wa newz mpya unakuwa taabu sana ili kila anaefikiria kutupa post yake aende huko kwenye jukwaa la kanumba itarahisisha pia upatikanaji wa habari zake
nawasilisha
 
Naunga mkono hoja! Yaani hata mimi sijui ni mada gani nichangie maana kila Thread ni Marehemu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom