Inamaana kuagiza mafuta kwa pamoja hakuna tija??EWURA twambieni wananchi tujue! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Inamaana kuagiza mafuta kwa pamoja hakuna tija??EWURA twambieni wananchi tujue!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Apr 10, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Nakumbua mwanzoni mwa mwaka huu tuliambiwa mafuta yanapanda kwakuwa wafanyabiashara wanapandisha Kiolela kwakuwa hakuna udhibiti wa uagizaji hivyo kila mmoja anapanga bei yake hivyo nibora waagize kwa pamoja itakuwa raisi kudhibiti bei yamafuta,sasa nauliza baada ya kuagiza kwapamoja mbona ndo imekuwa ghali zaidi??Je EWURA mbona mmekaa kimya mafuta yanafika mpa 2500 per ltr??
  Mbona hakuna hata taarifa kama mlivyokuwa mnajifanya niwatu wa ku update info??
   
 2. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  kwani wewe uko nchi gani? mtu aliyetoa quotation ndogo aliachwa akapewa tenda aliyetoa quotation kubwa. Kwa nini bei isipande. kwa hiyo tatizo lipo kwa wanaotoa tenda. hata utoe quotation ndogo namna gani lakini kama hujawakatia kitu watampa yule mwenye quotation kubwa kwa sababu yeye anakata fungu kubwa. nyie mlie tu.
   
Loading...