Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika mazingira ya kuiwashangaza wengi mbunge wa jimbo la bahi agawa hela kwa vikundi bila kubainisha hela ni zake au ni hela zinazo tengwa na serilali kwa ajiri ya mfuko wa jimbo?watu wakiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Posted on May 18, 2012 by zanzibaryetu Wakati tukielekea katika mchakato muhimu wa kutoa maoni yetu juu ya uundwaji wa Katiba mpya ya Tanzania, ni wazi kuwa jambo litalokuwa na mjadala mkubwa ...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kunatetesi hazina imefulia na imeshindwa kuwapa loans board pesa za kukopesha wanafunzi , Hadi sasa vyuo vitatu tu ndio vimepewa fedha na loans board mwenye taarifa sahihi atujuze
0 Reactions
41 Replies
5K Views
JF, Pastor wenu niko mbali na vyombo vya habari&redio haina betri.Smhn, Kuna nini kipya ktk anga la siasa za nyumbani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sasa wataambulia mishahara ya Mei tu.Zile hundi zilizokuwa zikiandikwa kwa ajili ya kuwashukuru Mawaziri waliotemwa kwa utumishi wao uliotukuka zimechanwa.Hawatazipata tena 'gratuity' zao.Serikali...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wana jamvi jana kulikuwa na mkutano wa ndani kati ya MH.Lema na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), mkutano huo likuwa ni mahususi kwajili ya kuimarisha tawi, kuu aga uongozi wa CDM...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
KUTEMWA UWAZIRI: Maige afichua siri *Mwanasheria ajipanga kuchukua hatua *Kuanika uozo wa Maliasili bungeni Na Salim Nyomolelo ALIYEKUWA Waziri wa Maliasili na Utalii, Bw. Ezekiel...
2 Reactions
51 Replies
7K Views
Jamani wana Jamii Forum Nyambari Nyangwine amepotelea wapi? Maana ni siku nyingi hasikiki au yupo kusaini mikataba ya Ukimya....... Au amefichama baada ya kuona vita ni kali??????
0 Reactions
6 Replies
2K Views
...yaani muda wote nilioikosa JF nimeshindwa hata kuwa productive. Kila nikijaribu kuingia napata error message, nikadhani nimepewa BAN. Nina namba ya Lizzy tu binti yangu, nikataka kuuliza...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimemsikia Ahmed Rajab leo asubuhi akihojiwa na Waziri Hamsini wa BBC. Akijibu swali juu ya mwaliko wa Kikwete toka kwa Obama kuhudhuria mkutano wa G8, mchambuzi Ahmed Rajab kasema kaalikwa kwa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wengi wanaibiwa pesa zao za mtandaoni. Wezi hushirikiana na wafanyakazi wa sio waaminifu wa makampuni ya simu. WEKA HELA YAKO BANK
4 Reactions
25 Replies
6K Views
Nikiwa kwenye basi juzi niliona watu kadhaa wakiwa wamevalia fulana nzuri sana zenye hii nembo, ikiwa imeandikwa kwa maandishi makubwa na mazuri. Sina hakika kama ni chama kinazitoa, au wamempa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Agenda kubwa ni kilimo,lakini kwa Tanzania imeonekana ndio nchi pekee afrika mashariki inayoongoza kuuza ardhi yake kwa nchi za kigeni. Source;BBC SWAHILI
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwaka 1958, muhasisi wa taifa letu, hayati JK Nyerere alitoa maneno mazito sana kuhusiana na ardhi ya Tanzania. Leo mataifa ya makubwai yameona bara la africa tanzania ikiwemo kuwa sehemu ambako...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana jioni muda wa saa 06:30 mjambazi wenye silaha za moto na mapanga wamevamia kituo cha mafuta kilichopo Nyamongo Tarime na kufaniukiwa kupora kiasi kidogo cha fedha kutoka kwa muhudumu wa kituo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:A S cry:Nashukuru sana kwa uwepo wa mtandao huu wa jamii, hoja zangu ni: Hadi sasa imekuwa ni suala la kawaida kwa wenye mitandao ya simu za mikononi kuanzisha bank kama aitel money, tigo pesa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimesoma habari kwamba ANC kule juu wamekuja juu kuhusu picha ya Zuma iliyochorwa na msanii ikionyesha nyeti za raisi huyo wa South Africa. Nikakumbuka enzi zile pale UD Mwinyi alichorwa akiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa huyu ndugu le Mutuuz inaonekane hakuna siku amesema niko kazini au ninaenda kuaandaa shamba au kufanya jambo lolote la maendeleo zaidi ya le mutuuz...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Si lahisi kuamini, lakini ndivyo ilivyo nchi hii. Na hapa Halmashauri ya wilaya Musoma imetokea. Mkurugenzi wa halmashauri hii, Bwana Karaine K.Kunei,amefanya madudu ya kufa mtu kwenye...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…