Hazina hoi

koplo

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
574
152
kunatetesi hazina imefulia na imeshindwa kuwapa loans board pesa za kukopesha wanafunzi , Hadi sasa vyuo vitatu tu ndio vimepewa fedha na loans board mwenye taarifa sahihi atujuze
 
kunatetesi hazina imefulia na imeshindwa kuwapa loans board pesa za kukopesha wanafunzi , Hadi sasa vyuo vitatu tu ndio vimepewa fedha na loans board mwenye taarifa sahihi atujuze

Hii ndo tanzania hakuna kitu kisichowezekana
 
Tanzania Tanzania, nchi iliyobarikiwa rasilimali na kunyimwa watu wanaotumia bongo za ifekitiveli.
.
"HERI KIJANA MASKINI MWENYE HEKIMA, KULIKO RAIS MPUMBAVU".
 
Sasa mnalalamika nini? Si tuliwaambia kwamba jamaa hafai.Na hii ni 2012 tu, ikifika 2015 ndiyo mtapata akili.
 
tutafik Tu , hata wananchi wakila nyasi, lakini marekani tutakwenda, ni upepo tu, utapita
 
Duh! Mi namsubiri Msemaji wa Hazina, Mwigulu Nchemba aje atueleze ndipo nitakapoamini.
 
'ukiyatizama unaona jawabu lake ni dogo tu, hatuelewani hatuaminiani...'
jk
 
kunatetesi hazina imefulia na imeshindwa kuwapa loans board pesa za kukopesha wanafunzi , Hadi sasa vyuo vitatu tu ndio vimepewa fedha na loans board mwenye taarifa sahihi atujuze

This is no longer news!!!

It is already a well known open secret!!!
 
Ngoja kwanza mkuu wa kaya akakutane na Obama sa sijui ndo atapewa masharti ya ndoa za jinsia moja! Ee Mungu tusaidie.
 
sasa kama wafanya biashara wanasamehewa kodi wanazotakiwa kulipa....wao walitegemea hiyo hazina itapata wapi pesa?? na sasa hivi wafadhili wameshtukia dili hawatoa msaada wa pesa isipokua wameamua kupeleka hizo pesa moja kwa moja kunakohusika safi sana. Hawana hata aibu huko serikalini wanakula hela mpaka wafadhili wanasimamisha misaada...what a shame
 
Back
Top Bottom