Kwa nini Hivi Nyambari Nyangwine??????

Mtali

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
3,444
2,485
Jamani wana Jamii Forum Nyambari Nyangwine amepotelea wapi? Maana ni siku nyingi hasikiki au yupo kusaini mikataba ya Ukimya....... Au amefichama baada ya kuona vita ni kali??????
 
Kamfuate pale kwake mbezi-jogoo amejenga gorofa tatu nyumba ya kuishi utadhani business complex.
 
Jamani wana Jamii Forum Nyambari Nyangwine amepotelea wapi? Maana ni siku nyingi hasikiki au yupo kusaini mikataba ya Ukimya....... Au amefichama baada ya kuona vita ni kali??????

Wapigakura wake wenyewe wananmtafuta,sasa sijui wanataka kumtwanga na majabali Kama ilivyokuwa awali!!
 
Back
Top Bottom