Hongera Lema kwa kazi unayoifanya

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Wana jamvi jana kulikuwa na mkutano wa ndani kati ya MH.Lema na wanafunzi wa chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), mkutano huo likuwa ni mahususi kwajili ya kuimarisha tawi, kuu aga uongozi wa CDM uliokuwepo na kuwakaribisha viongozi wengine.

Kupeana ushauri juu ya kupata Ofisi itakayotumika na uongozi huo mpya wa wanafunzi.Makamanda wote walikwepo BANANGA,MAWAZO, OLE MILYA, na hata viongozi wa CHADEMA wa vyuo jirani walikuwepo. Sera zilimwagwa kuanzia saa 8:00Mchana mpaka saa mbili kasoro za siku.

Mengi yaliongelewa likiwemo la kushirikiana kuizika kabisa CCM hapa arusha na maeneo jirani.Kutakuwa na program itakayo zinduliwa hivi karibuni itakayo kwenda kwa jina WACHA VIDOLE VYAKO VITEMBEE NA CHADEMA, HI ni maalum kwa watumiaji wote wa Simu,Enternet na mitandao ya kijamii,Pia pamoja na CHADEMA mkoa wa Arusha Kandaa na kuuza T.SHET ,sasahivi tunaandaa BRAZIA NA BOXSA.

Vyote hivi vitazinduliwa DAR ES SALAAM katika mpango unaoendelea wa VUA GAMBA VAA GWANDA. naomba niishie hapo kwa sasa.
 
tutawakamata ugoni mara mnoja kwa kuuza blazia zenye maneno ya kichochezi.au mna siri ya kutaka kuvunja ndoa za watu
 
Arusha tayari imeshakuwa huru mh.Lema asipoteze muda na Arusha aende huko Nzega, Lindi Mtwara , sikoonge, dodoma, bagamoyo, unguja pemba kuimarisha chama!!
 
Mh:LEMA kule mtera usipasahau mitusi hakubaliki makamanda wanahitaji ukombozi.Panga ratiba ya kule.KAMANDA SHUJAA.
 
Arusha tayari imeshakuwa huru mh.Lema asipoteze muda na Arusha aende huko Nzega, Lindi Mtwara , sikoonge, dodoma, bagamoyo, unguja pemba kuimarisha chama!!

Huyu Jamaa Familia yake iko Arusha, Analazimika kutumia muda mwingi na Familia yake pia, sio kuzunguka tuuuu nchi nzima, The Best a Man can do is to raise a responsible and well respected Family, kama alivyofanya Mwalimu na wakina Martin Luther King.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom