Mbunge wa Bahi ajijenga kupitia fedha za mfuko wa jimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Bahi ajijenga kupitia fedha za mfuko wa jimbo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nyafuru, May 18, 2012.

 1. nyafuru

  nyafuru Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika mazingira ya kuiwashangaza wengi mbunge wa jimbo la bahi agawa hela kwa vikundi bila kubainisha hela ni zake au ni hela zinazo tengwa na serilali kwa ajiri ya mfuko wa jimbo?watu wakiwa wamejikusanya wawili watatu walionekana wa kishangazwa n amambo anayo ya fanya mbunge huyo nsa ser a alizo zizindua hapohapo kwenye mkutano kama "kopa kwa mbunge kaa nazo mwenyewe"kopa kwa mbunge lipa kwa jirani yako"lakini kitendawili ambacho watu wa bahi dodoma wamebaki nacho ni je hela hzo ni mali ya mbunge au za mfuko wa jimbo?:spy:
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  wakifanya masihara wataishia kupewa elfu mbili mbili maendeleo sifuri
   
Loading...