Naombeni mnisaidie katika hili, je? CCM ina-wakaguzi wa ndani (internal auditors)? Ina-mdhibiti na mhakiki mali za chama? ina-wahasibu qualified?
Hii ni kuanzia gazi ya chini kabisa hadi ngazi ya...
jamani tbc1 inaelekea wap?, kipindi kile Tido Muhando hupo madarakani, vipindi vilikua vizur kwanzia vya burudani habari, michezo kama kuonesha mechi mbalimbali, lakini kwa sasa imepoteza mvuto!
Hebu tujaribu kujiuliza kidogo. NI kwanini watanzania wengi tukiulizwa tunasema tunajua lakini ukweli ni kwamba hatujui, au tunajua kiduchu tu?
Ni kwanini watanzania ni hodari kusifu wengine...
Wana jf, nimekuwa nikitazama sakata la mabaraza ya madiwani na watendaji wa halmashauri mbalimbali hasa baada ya ligi ya vikao vya bunge vilivyopita na kugundua kuwa mabaraza ya madiwani...
Pengine ntakuwa si mwingi wa rehema
kukaa kimya kwa hili lililomkuta kaka yangu rafiki yangu kipenzi p mafisango
pengine waweza jiuliza ilikuwaje nikaandika hili lakini nimewiwa kuandika hili...
Bei ya sukari hapa Iringa Mjini ni kama ifuatavyo:
¤ sukari kutoka Kilombero (Mtibwa Sugar), Morogoro ni 2,300/-
¤ sukari kutoka Brazili ni 1,800/-
SWALI: je gharama za kuzalisha na kusafirisha...
Jana ilitimu siku ya sita (6) mimi na jamaa yangu toka Arusha tukihangaishwa na watu wa mali asili. Jamaa yangu kaja hapa Dar kusajili kampuni yake ya utalii, na kule Arusha aliambiwa nani wa...
http://www.eastafricaherald.com/2012/05/scoundrels-who-neglect-parents.html
This is very true!! tubadilike jamani!!!
'Like' us on facebook for more exclusive content!
Wandugu kuna mlinzi wa Tanzaniteone amefariki asubuhi hii mgodini. Na sasa mwili uko njiani kuelekea kcmc kuhifadhiwa. Jina ni Kaaya mwenyeji wa Bomang'ombe. Anayeweza kufatilia zaidi afanye hivyo
Mustafa Sabodo ametoa msaada wa kujenga visima 10 vyenye thamani ya Sh75 milioni kwenye Jimbo la Ulanga Mashariki mkoani Morogoro.
Visima* hivyo ambavyo tayari vimeshakamilika vimejengwa katika...
Ikiwa ni miezi sita imepita toka yalipofanyika mahafali ya katika chuo kikuu cha Dodom(Udom) inashangaza sana kuona ni jinsi gani chuo hicho kinaongozwa na genge la mafisadi.
Wahitimu wa mwaka...
Posted on Wednesday, May 13th, 2012 at 8:42 PM
By BellaNaija.com
Just about everyone knows whatPlayboy is. Even if you have never browsed through a copy of the adult magazine, you might be...
With disgust I have read the reserve account of Tanzania amounting to $ 3.6 billion after 50 years of independence whereas two countries which had our status in 1960`s namely Singapore and...
INASIKITISHA KUONA KADA WA CHAMA NAPE ANATANGAZIA UMA KUWA CHADEMA INATEGEMEA MGOMBEA URAISI KUTOKA KANDA YA KASKAZINI.HII KUTHIBITISHA ALIYOYASEMA MZEE MAKAMBA KUWA HUYU ANAKIGAWA CHAMA...
UBABE WA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI
Inatubidi sasa tutumie JF kufikisha ujumbe wetu sisi watumishi wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi ,kueleza kilio chetu juu ya unyanyasaji...
Jana waandishi wa habari mkoani Arusha walimkataa Afisa habari wa mkuu wa mkoa , Yotam Ndembeka,mbele ya bosi wake Magesa Mulongo, wakidai ni mbinafsi mbaguzi,mwenye majungu na hafai kuwa afisa...
Jamani huyu afisa habari wa mkoa wa Arusha,Yotam Ndembeka mbona kituko badala ya kutoa habari kama PRO yeye amegeuka tarishi wa kufunga na kumfungulia mlango gari RC,kumbebea mafaili,kumchukulia...
M4C. Leo Kamanda G. Lema na Makamanda wengine wamendelea kuwavua magamba ya kutosha katika kijiji cha Kilewo kata ya Kifaru katika Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro.
Na kesho msafara...