Bei ya sukari mjini Iringa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya sukari mjini Iringa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbori, May 19, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Bei ya sukari hapa Iringa Mjini ni kama ifuatavyo:
  ¤ sukari kutoka Kilombero (Mtibwa Sugar), Morogoro ni 2,300/-
  ¤ sukari kutoka Brazili ni 1,800/-
  SWALI: je gharama za kuzalisha na kusafirisha sukari kutoka Brazil mpaka Iringa ni ndogo ikilinganishwa na gharama za kuzalisha sukari na kusafirisha sukari kutoka Morogoro?
   
 2. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  LabdayYa Mtibwa iko kwenye kiwango kulinganisha na hiyo fake ya Brazil au hiyo ya Brazil imeingizwa kwa kukwepa kodi. Uchunguzi ufanyike
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Duh? Hili lahitaji uchunguzi wa kina tena haraka sana!
   
 4. k

  kagame Senior Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Brazil watu wanakula bata kwenda mbele, maisha yanajali vipato vya wananchi wao! Nimewahi fanya kazi kwenye poultry company, product ya hapa TZ ilikuwa kwenye 5000 per kg while imported from Brazil ilikuwa 2000 per kg! Bila serikali kuweka restriction hali ilikuwa mbaya kwa mzalishaji wa ndani, kinachotuua ni urasimu na kupenda super normal profit.
   
 5. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Nahisi kuna tatizo kubwa kwenye mfumo wa kodi kwa bidhaa za ndani
   
Loading...