M4C, Yaendelea kuwavua magamba na kuwavisha Magwanda! Huu msako ni TAFU hakuna mfano!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
M4C. Leo Kamanda G. Lema na Makamanda wengine wamendelea kuwavua magamba ya kutosha katika kijiji cha Kilewo kata ya Kifaru katika Jimbo la Mwanga Mkoani Kilimanjaro.

Na kesho msafara unaelekea Wilayani Sengerema ambapo kesho watakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara wilayani hapo na Jumapili watakuwa mjini Chato kwa Waziri wa Ujenzi Mh. Magufuli na jumatatu Wilayani Bunta na jumanne watakuwa Singida kaskazini.

Makamanda wataendelea na zoezi hilo ambapo wameapa ya kwmb huu ni msako wa lango hadi lango na hakuna kuchoka mpaka KIELEWEKE!

Habari ndio hiyo na NINAWASILISHA!

Source ni Mi mwenyewe!!
 
Chato to Singida? Tabora iko kati in btn ila it is left in tumoil... tafadhari help these brothers&sisters in Unyamwezini.
 
Chato to Singida? Tabora iko kati in btn ila it is left in tumoil... tafadhari help these brothers&sisters in Unyamwezini.

M4C inaendeleza msako mtindo

mmoja hakuna cha wapi wala wapi!

Iliyobaki ni vua gamba vaa Gwanda!
 
Wakuu mikutano inatakiwa ifanyike vijijini sasa mijini wanatafuta nini? CHADEMA ACHANA NA MIKUTANO YA MIJINI KABISA, Kwa sasa ni kujikita vijijini tu, hiyo mikutano itakuwa ni mijini tu, sasa vijijini inakuwaje?

Ina takiwa Mijini wapewe kisogo kwa miaka miwili, ili kazi ifanyike BUSH TU
 
Chato to Singida? Tabora iko kati in btn ila it is left in tumoil... tafadhari help these brothers&sisters in Unyamwezini.

Sikonge yuko huko, wasipomsikiliza yeye hata aje Nabii hawatamsikiliza, Wanyamwezi na Wagogo kuna mambo ya msingi wanafanana mojawapo ni rahisi kudanganywa.
 
Wakuu mikutano inatakiwa ifanyike vijijini sasa mijini wanatafuta nini? CHADEMA ACHANA NA MIKUTANO YA MIJINI KABISA, Kwa sasa ni kujikita vijijini tu, hiyo mikutano itakuwa ni mijini tu, sasa vijijini inakuwaje?

Ina takiwa Mijini wapewe kisogo kwa miaka miwili, ili kazi ifanyike BUSH TU

Kamanda nakwambia huu msako hauachi hata kitongoji ktk miaka kadha tulionayo kbl ya uchaguzi 2015 hapa ni Kijiji kwa kijiji lango kwa lango Kamanda

Hakuna kulala

Mpaka kielewekeeeeeeeeeeeee!!
 
Wakuu mikutano inatakiwa ifanyike vijijini sasa mijini wanatafuta nini? CHADEMA ACHANA NA MIKUTANO YA MIJINI KABISA, Kwa sasa ni kujikita vijijini tu, hiyo mikutano itakuwa ni mijini tu, sasa vijijini inakuwaje?

Ina takiwa Mijini wapewe kisogo kwa miaka miwili, ili kazi ifanyike BUSH TU

Mkuu hawa jamaa wa CDM nawaaminia; strategists wao wako makini hakuna mfano. Kimsingi wanajua wanachokifanya. Hebu jiulize team inaondoka Kifaru (Mwanga) straight hadi Sengerema then to Chato then to Bunta finally to Singida Kaskazini.

Hujiulizi maana ya hili zig-zag? Umewahi kumsikia Dr. Slaa hivi karibuni? Umewahi kujiuliza ni kwa nini? Japo una haki ya kuhoji na hata kushauri, lakini pia tujue wana mikakati mizito ya namna ya kupanga majeshi, wakati, mahali, na namna ya ku-attack ukizingatia aina ya adui wanayekabiliana naye. Tuwape muda.
 
Back
Top Bottom