UBABE WA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI

taita

Member
Jul 22, 2011
12
0
UBABE WA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI

Inatubidi sasa tutumie JF kufikisha ujumbe wetu sisi watumishi wa wizara ya mambo ya ndani ya nchi ,kueleza kilio chetu juu ya unyanyasaji tunaofanyiwa na MAMA huyu.

Tangu ujio wake MAMA huyu amekuwa akitutukana sana kuwa hatufanyi kazi ila ni kuandaa madokezo ya hela ya kufanya kazi ya ziada na wizi wa mali ya selikali. Tuhuma hizi siyo za kweli kwani watumishi wamekuwa wakichapa kazi kama kawaida lakini hakuna posho yoyote wanayolipwa

CHA KUSHANGAZA wakati yeye akiwazuia watumishi kulipwa posho yeye analipwa posho na Idara ya Wakimbizi bila hata maelezo ya kutosha.

Pia MAMA huyu amekuwa na Makundi ambayo yamekuwa yakimpelekea majungu wakiongozwa na HICT,AFISA WA BUNGE,MAMA PAO cha kushangaza hata PIMBI mmoja amekuja juzi naye amekuwa hakauki ofisini kwa MAMA huyo naye ni mkuu wa kitengo cha stoo

Mzee LOWASA alisema enough enough nasisi tumechoka tunataka kumwaga mtama hata kama ni mtu wa JK
 
Top Bottom