Ccm yaanza kampeni za ukabila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm yaanza kampeni za ukabila

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by andrews, May 18, 2012.

 1. a

  andrews JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  INASIKITISHA KUONA KADA WA CHAMA NAPE ANATANGAZIA UMA KUWA CHADEMA INATEGEMEA MGOMBEA URAISI KUTOKA KANDA YA KASKAZINI.HII KUTHIBITISHA ALIYOYASEMA MZEE MAKAMBA KUWA HUYU ANAKIGAWA CHAMA CHETU,INABIDI ATUELEZE MIKAKATI YA KURUDISHA WANACHAMA SIO UCHOCHEZI HUU.KWELI KWA MTAJI HUM MUKAMA,NAPE CCM INAMEGUKA MCHANA KWEUPE.:A S-baby:
   
 2. a

  andrews JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli kuna mpenda ccm yeyote anyejua vizuri siasa akaniambia nape anakijenga chama badala ya kushinda kwenye mitandao kujibu hoja badala ya kujaribu kurudisha kundini kondoo waliokimbia mchungaji anayewapiga bakora badala ya kuwapeleka malishoni?
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Hawajaanza. Wanaendelea maana hawajaanza leo!
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hii siyo mara ya kwanza kwa Nape kuwataja watu kaskazini as if ni wavamizi. Ila ningetaka tu kujua, watu wa kaskazini ni watanzania? Na kama ni watanzania wana haki ya kupiga au kupigiwa kura kama watanzania wengine wowote? Kwa nini Nape anawasema watu wa Kaskazini kama watu wasiotakiwa kwenye hii nchi? Au anataka kusema wapo Tanzania kinyume cha sheria?

  Ukiangalia historia la bara la Africa, machafuko yanayotokea kwenye nchi tofauti mara nyingi huanzishwa ama huchochewa na vyama vilivyo madarakani. Nape anatupeleka huko huko. Inawezekana huu ni mkakati wa CCM wa ku-haramisha watu wa eneo moja, kwamba kama wewe unatoka sehemu fulani basi wewe ni mtanzania halali, lakini watu wa eneo jingine waonekane kama ni watanzania haramu. Tusibiri, kama hakutakuwa na kauli rasmi toka kwa wakubwa wa CCM kukanusha anayosema basi tujue mkakati wa kuharamisha baadhi wa maeneo Tanzania ni mpango rasmi wa CCM.

  Tumefikaje huko?
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kama mlikuwa mnamsikiliza Mzee Moses Nnauye yeye pia alikuwa na beef na watu wa Kaskazini hasa wapare; Kwahiyo

  Iko kwenye damu kwahiyo siwashangai ni wabaguzi, watenganishi ndio maana Mzee Nnauye watu walikuwa wanamuita

  Mnafiki 2 faces; LIKE FATHER LIKE SON!!!
   
 6. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo watu wa-kaskazini hawaruhusiwi kuwa na vyeo vya juu CCM?
   
 7. silvemaps

  silvemaps Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msamehen bure huyo jamaa kama cm ya mchina,kuna muda net work yes kuna muda network no.
   
 8. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mwacheni huyo Vuvuzela la Kikwete liharibu Chama cha Mafisadi.
   
 9. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Utasubiri kauli za wakubwa hadi kufa, haitatoka kamwe.

  Huo ni mpango uliasisiwa bagamoyo kwa ******, na ccm wameuchukua katika utekelezaji. Wamesahau misingi ya mwalimu, sasa wanaigawa nchi kwa misingi ya ukabila na udini.

  Ccm is dying.
   
 10. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Sosi please!
   
 11. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Kama sio kweli mbona mmemshambulia shibuda?
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Nape ni MBUMBUMBU na wakupuuzwa kabisa.
   
 13. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Short live nape.
   
 14. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  source ni jamiiforums.
   
 15. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Shibuda kashambuliwaje?kwa mawe marungu au?acha kupotosha mada iliyo mezani.CCM hamfai mbele ya ardhi hii na hata huko kwa mwenyezi Mungu kwa tabia yenu mbaya Kama inavyoonekana waziwazi(ndani ya viongozi Wa ccm) kuwabagua watu kwa ukanda na ukabila.Hiyo ni dhambi kubwa(sawa na kula nyama ya mtu) laana hii itawatafuna ninyi mpaka vizazi vyenu
   
 16. C

  COWARD Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo unatumia masaburi yako kufikiri.
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,921
  Trophy Points: 280
  nina uhakika asilimia 99.1 kuwa nape ni mmoja kati ya wazikaji wakuu wa ccm, tusubiri tutaona.
   
 18. a

  andrews JF-Expert Member

  #18
  May 19, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nape huwezi hata kushawishi vijana wasomi kwenye vyuovyote tz na hata walalahoi hawakusikilizi jizatiti na matatizo ndani ya ccm sio upinzani.RIP:juggle:
   
Loading...