Tujihadhari na yaliomkuta Patrick Mafisango

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Pengine ntakuwa si mwingi wa rehema
kukaa kimya kwa hili lililomkuta kaka yangu rafiki yangu kipenzi p mafisango
pengine waweza jiuliza ilikuwaje nikaandika hili lakini nimewiwa kuandika hili
kama fundisho kwa wengine....
Mafisango p ni rafiki yangu mkubwa na kama mimi nimekuwa nikitoa mawazo pale ninapoweza kuyatoa na kumwachia mwenyewe mengine

kama tujuavyo kwa watanzania wanasema kila kifo ni mapenzi ya mungu lakini mi sikubaliani na hilo ninaposoma biblia maisha ya mwadamu ni miaka 70 ikiongezeka ni baraka za mungu sasa basi mwenye akili utajua hata kama ni ...nahisi baba au mama aliondoka chini ya 70 basi huyo ni shetani na msimsingizie mungu hata kidogo soma biblia inaeleza wazi...so kwa ujumla utaona kaka ameondoka chini ya 70 na hilo linakujulisha si mapenzi ya mungu!!!!!

Turudi kwenye wito kwa wachezaji
sipendi kuzungumzia sana maisha ya p mafisango ila napenda nieleze kaka ameondoka akiwa hoi bin taabani na pombe na hata waliokuwa muhimbili mmoja wapo ni ndugu yangu ambaye aluhuzunika sana sana...sikatai kunywa ila ni vyema mkiwa mko free jueni maisha ni akili na mpira ni nidhamu

sisemi vibaya kwa kaka yangu kama sijakosea hana miezi mitatu kocha alilalamika sana sana kuhusu unywaji wake pale alipoleta zogo na viongozi ingawa alikuwa na haki kulalamika lakini sio kwenda kulalama uongozini akiwa kalewa...ni kocha alisema na kutoa wazo jamani kama mnamruhusu mafisango basi akija mwingine kalewa naomba msinihusishe na hili muendelee kuwalea mtakavyo

sasa basi pengine alipotua alipewa vijisenti ila kama ana ndoa ama mke na kwenda kuishia club wakati mkewe amekaa nyumabni basi sio sawa hata kidogo ..naomba niliweke wazi hilo....kama mlivyosoma ndani ya gari kulikuwa na wanawake wawili na wanaume watatu na mmoja wa ndugu yake aliulizwa akasema ajui mwanamke aklieekuwa mbele ni nani wake tangu waclub

ndugu zanguni wachezaji mjilinde mjiepushe na tamaa za dunia tunawapenda tunawajali kwa kodi zetu tunazoleta hapoo kwenye harambee zenu msituhuzunishe ..natumaini wale wenye akili watabadili tabia na kumrudia mungu
nawatakia msiba mwema na safari njema hasa kwa kaka yangu boban anaeenda na msiba

bwana yesu awabariki na kuwapigania njia nzima mtakayopita adui wenu awe adui wa mungu
 
Wasiopenda kuona ukweli ukitawala watakupinga mkuu ila huu ujumbe hapa ni mahala pake na umeuleta wakati muafaka.Utawasaidie wengine kujiepusha na tabia zinazokatiza maisha yao mapema
 
kumbe ndio hivyo ngoja nipunguze dozi ya ndumu.. kuanzia sasa... RIP kaka P mafisango..
 
Pengine ntakuwa si mwingi wa rehema
kukaa kimya kwa hili lililomkuta kaka yangu rafiki yangu kipenzi p mafisango
pengine waweza jiuliza ilikuwaje nikaandika hili lakini nimewiwa kuandika hili
kama fundisho kwa wengine....
Mafisango p ni rafiki yangu mkubwa na kama mimi nimekuwa nikitoa mawazo pale ninapoweza kuyatoa na kumwachia mwenyewe mengine

kama tujuavyo kwa watanzania wanasema kila kifo ni mapenzi ya mungu lakini mi sikubaliani na hilo ninaposoma biblia maisha ya mwadamu ni miaka 70 ikiongezeka ni baraka za mungu sasa basi mwenye akili utajua hata kama ni ...nahisi baba au mama aliondoka chini ya 70 basi huyo ni shetani na msimsingizie mungu hata kidogo soma biblia inaeleza wazi...so kwa ujumla utaona kaka ameondoka chini ya 70 na hilo linakujulisha si mapenzi ya mungu!!!!!

Turudi kwenye wito kwa wachezaji
sipendi kuzungumzia sana maisha ya p mafisango ila napenda nieleze kaka ameondoka akiwa hoi bin taabani na pombe na hata waliokuwa muhimbili mmoja wapo ni ndugu yangu ambaye aluhuzunika sana sana...sikatai kunywa ila ni vyema mkiwa mko free jueni maisha ni akili na mpira ni nidhamu

sisemi vibaya kwa kaka yangu kama sijakosea hana miezi mitatu kocha alilalamika sana sana kuhusu unywaji wake pale alipoleta zogo na viongozi ingawa alikuwa na haki kulalamika lakini sio kwenda kulalama uongozini akiwa kalewa...ni kocha alisema na kutoa wazo jamani kama mnamruhusu mafisango basi akija mwingine kalewa naomba msinihusishe na hili muendelee kuwalea mtakavyo

sasa basi pengine alipotua alipewa vijisenti ila kama ana ndoa ama mke na kwenda kuishia club wakati mkewe amekaa nyumabni basi sio sawa hata kidogo ..naomba niliweke wazi hilo....kama mlivyosoma ndani ya gari kulikuwa na wanawake wawili na wanaume watatu na mmoja wa ndugu yake aliulizwa akasema ajui mwanamke aklieekuwa mbele ni nani wake tangu waclub

ndugu zanguni wachezaji mjilinde mjiepushe na tamaa za dunia tunawapenda tunawajali kwa kodi zetu tunazoleta hapoo kwenye harambee zenu msituhuzunishe ..natumaini wale wenye akili watabadili tabia na kumrudia mungu
nawatakia msiba mwema na safari njema hasa kwa kaka yangu boban anaeenda na msiba

bwana yesu awabariki na kuwapigania njia nzima mtakayopita adui wenu awe adui wa mungu

Mmmmmmh_inasadikiwa Yesu alikufa akiwa na age ya 33 tu,...hope shetani hausiki hapa..na watoto wadogo je?...hapa kuna harufu ya upotoshaji wa kilokole kama kawaida yake,...ila nimeipenda sana the whole thread...inafundisha...anyway r.i.p young nigga.
 
Dah, kumbe jamaa alikua tungi? Hawa masupastaa wawe makini na tungi na mademu inaonekana Mungu ashakasirika.
Bado sijasahau ya kaka Steve "the great" RIP Patrick!!
 
Bongoland,
Kaumaarufu kadogo tu tunapumulia kwa totoz na ze laga!
Hizo ni noma vijana.
Stareheni mkiwa na kiasi.
 
Bonge la somo nadhani limewafikia.Bila kumumunya maneno Boban ujumbe umemfikia
 
ujumbe umewafikia Maisha club sjui kunani pale kanumba nae alitokea pale the day he die na huyu pia alikuwa maisha
R.I:p brother.
 
Nijuavyo mimi ulevi mwisho wake ni kifo cha aibu so ni vyema kila mtu kuwa makini sana juu ya ulevi.
 
Ujumbe huu hautawafikia ingawa ni mzuri. Heri ungeuandika kwenye magazeti ya udaku. Huko watausoma wote
 
ujumbe umewafikia Maisha club sjui kunani pale kanumba nae alitokea pale the day he die na huyu pia alikuwa maisha
R.I:p brother.
hawakusikia ya kanumba tutasikia ya mafisango!?
 
Mkuu ujumbe wako ni kweli kabisa, tunajua kila mtu atakufa lakini ni jukumu letu kulinda nafsi zetu na kujitahidi kuepuka vifo vitokanavyo na uzembe, kuendesha gari umelewa ni hatari sana, RIP Mafisango umetuachia pengo kubwa sana wana Msimbazi, kifo chako kiwe fundisho kwa sisi tuliobaki.
 
Nakubaliana Na wewe kwa hoja ya kuwa si kila kifo ni MAPENZI ya MUNGU. Lakini napingana Na suala la umri wa MUNGU. Miaka 70, twajua MUNGU alisema hivyo lakini si wote wanaokufa chini ya hapo ni shetani.... Kuna haja ya kujua kwa undani katika hili AMA sivyo hii Imani yachanganya mno.
 
Back
Top Bottom