Afisa habari wa mkuu wa mkoa wa Arusha, auota utalishi

Arusha Leo

Senior Member
Mar 12, 2012
122
72
Jamani huyu afisa habari wa mkoa wa Arusha,Yotam Ndembeka mbona kituko badala ya kutoa habari kama PRO yeye amegeuka tarishi wa kufunga na kumfungulia mlango gari RC,kumbebea mafaili,kumchukulia posho za mikutano,na kutembea nae kwenye gari kama bosi na kusahau majukumu yake ,wananchi wanapotaka taarifa za mkoa wanaambiwa wamwone Ndembeka wakimfuata ofisni kwake wanakutana na kofuri hayupo,sasa tuelewe moja wewe ni tarishi wa mkoa ama PRO wa ofisi ya RC maana huna msaada kwa jamii hata wafanyakazi wenzako unatuboa ?
 
anatekelezza sera za woga za ccm, hamjui kafikaje hapo alipo..ngoja alipe fadhila kwanza
 
Don't be dog in the manger!!!Elimu huna afu unaitaka post ya Yotam,wamekutosa,aliyepata unampepetea majungu.Nenda shule kaka!!!Majungu kwenye JF hayajengi na wala hayawezi mwindolea nyadhfa yake.
 
Ndembeka mbona unafuta posting jibu shutuma ;umekuwa bodyguard, tarishi au kama wachangiaji wanavyosema?
 
Elimu:Certificate ya Habari,nawe unataka cheo cha Afisa Habari wa Mkoa,hahahahaha terrible!!!Afu kuthibitisha kuwa ni tikiti,Je mtu anaweza futa comments za mchangiaji mwingine kama yeye si mtoa mada?Tunakubali sawa elimu huna,lakini hata hii ya kujua nani mwenye authority ya kufuta comments inahitaji shule jamani?Mchizi atashika hiyo position hadi atakapoamua yeye kuacha,na pia ataendelea kushika post yake mpya hadi mkubwa wake atakapomwambia aache.Lakini sio kwa kumsikiliza mtu wenye Certificates ya Habari aliyekuwa anauwania uafisa habari wa Mkoa
 
what terrible matter is this.Unajua ukijua mambo ya ki protocol hguwezi poteza muda wako ku punch issue ambazo kila anayezisoma anaona you are jerious of the task.Umesha sema PRO sasa unataka akachukue information kwa baba yako au?Be prudent jamaa sio mwanasiasa paka ukazani unamwaribia kwa mass he is professional na post yake imeangalia zaidi meritocracy hakuna cha kulipa fadhila hapo.

Pia unafikiri muda wote akiwa ofisin shughuli nyingine nani afanye mimi nikajua unaniambia kwamba anakuwa katika misele yake kumbe ni official trips,man be careful when punching your matters kumbuka this is the blog of great thinkers therefore we always think big.
 
Inavyosemekana mchizi baada ya kuona Yotam kapewa shavu lingine ,yeye akawa anautaka U-PRO,wakamtema kwa sababu ya elimu ya kuungaunga na pia uwezo mdogo,Azimio ni kwamba Yotam aendelee na vyeo vyote viwili,Kasheshe ndio ikaanzia hapoooooo!!!!Roho inamuuma akisikia jamaa leo yuko Ukerewe,kesho Mbeya, keshokutwa Dodoma!!!Alikimbia Umande,mvua ataiweza?
 
Huyu jamaa anaumwa mavi kweli kumbe ndio mpango wenyewe analeta majungu kwenye blog of great thinkers....pumbavuuuu kweli.mwambie tunduru wanatafuta maafisa habari akaombe kule alime na korosho kabisa.watu wananyota zao bwana unamchezea yotam long time yuko na vigogo wa serikali tena mabosi wa huyo rc kama hajui.yotam ninamjua long time hapo anafanya majukumu ya taifa sio ya mkoa kwa taarifa yake.

Yani mtu ukiamka ukikosa jiti la kununuloia chgapati unawachukia watu wenye proffesional kama yako ukizani hao ndio waliosababisha hapana ni ujinga wako wakubweteka ukiwa kama mwanaume.mambo akama hayo kama akweli ulikuwa unamaanisha katika maadili yake ungemfata yotam mwenyewe na kumwambia nini watu hawapendi sasa unaleta huku si unafiki,uzandiki,ufilahuni na wivu wa maendeleo.

Pole sana ndugu yotamu huyoooooooooooooooo anapeta wewe kaa tu subiri mchakato mwingine
 
Back
Top Bottom