Katika hali isiyo ya kawaida jasilia mali Tanzania ni adhabu kubwa kwa wa Tanzania jambo ambalo ni tofati na nchi nyingine, ni jambo la kushangaza kwa nchi kama Tanzania ambayo ina zaidi ya watu...
KamaWanaume wa kizazi hiki hawakuwa macho, karne ijayo , patakuwapo na wanaharakatiwanaume wa kupambana na sheria kandamizi zitakazokuwapo katika utawala katiliwa wanawake.
Kumekua na kawaida siku hizi kuona mtu mzima akiwahutubia wanafunzi na vitoto vya mtaani tofauti na juzi pale jangwani ambapo kulikua na watu wazima kibao. Watoto husogea sio kusikiliza bali...
jumapili hii MARY NAGU alikuwa mgeni rasmi kwa ajili pia ya kuwaaga wahitimu mbalimbali, katika kumkaribisha ASKOFU ALISEMA MAMA HUYO NI MTU SAFI NA MWADILIFU NA MCHAPA KAZI kwa kuwa amejumuishwa...
Habarini wanajamvi!,wapenzi wa CHADEMA,na wasio wapenzi,....
Binafsi ntakua mchoyo nisipo/nikichelewa kusema kwamba "CHADEMA nakupenda kwa moyo wangu wote"
Najua upo kwenye wakati...
Kwa mwenye kujua palipo na viwanja vya michezo hapa jijini ,Michezo mbali mbali na kuogelea ikiwamo , kwa ajili ya watoto umri wa miaka 6 - 12 with coaching, ningependa watumie...
Nina uchungu mkubwa kuona kwamba mheshimiwa Mengi anakubali kutangazwa tangazo lakulazimisha ngono litangazwe kwenye kituo chake cha itv.
Mheshimiwa , mimi nakuamini kwamba una heshima na...
Princeware Africa Ltd ni miongoni mwa viwanda vya wahindi vinavyojishughulisha na utengenezaji wa vifaa vya majumbani vya plastic kikiwa barabara ya Nyerere pale stendi ya Kipawa. Ktk kiwanda hiki...
Mkenya Antony ngoo na mwanaye Davisi antony ngoo wamekwenda kwa waziri wamambo ya ndani na mtoto wa mzindakaya ambaye anafanya kazi uhamiaji nakufanikiwa kubadili uwamuzi wa waziri...
ITV pekee, nawapa big up. Tumewapata Live, tunahitaji kujifunza mengi toka chama pekee cha ukweli cha upinzani Tanzania. Tunatengemea kupata mengi live.
Tuko hilo limetokea huko nchini Tanzania katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Msichana aliingia na jamaa jana usiku kwenye nyumba hiyo ya wageni kwa nia ya kuchukua chumba na kulala...
Wakuu licha ya kwamba Kampuni ya simu za mkononi Airtel ni sehemu ya Wateja wa JF lakini huu wizi waliounza sasa hivi is unacceptable in any circumstance.
Kila MwanaJF anayetumia modem ya airtel...
Sebodo awepewa kibali cha kujenga car park kubwa na ya kisasa
Mtaa wa india,Dsm.
Mapato yote ya miaka kumi ya mwanzo ya tapelekwa kujengea visima vijijini.
Watanzania wenzangu, tatizo la umeme linaloikabili nchi yetu ni "man made" yaani ni la kutengenezwa na wanadamu. Katika mkutano kati ya waziri mpya wa Nishati na Madini na wafanyakazi wa TANESCO...
Labda ni mzazi wako ama mke/mume au hata mtoto anakwambia NIKIFA NATAKA NICHOMWE MOTO!
Naam nimesikia hiyo wiki hii! Mzee mmoja huko Marangu naskia aliamua kuchomwa moto akifa. Na ndivyo...
BY JOSEPH MCHEKADONA
27th May 2012
Chinese contractors in the country have said the government has not completed paying a Sh400 billion outstanding debt, and they have asked the government to...
Salam Jf! Kwa ukweli mnaweza kunishangaa nitakapokiri hapa kuwa sijui kazi wanazofanya watu/watumishi walioajiriwa na wizara/idara ya maji. Hivi kazi zao nini? Kwa mfano Dsm pale makao makuu...
mwenzenu sikufatilia mkutano wa chadema lakini kwa hamu nikasubiri TBC 1 itujuze yaliyojiri kwa mshangao ulipofika wakati wa magazeti yule mdada alianza na habari gazeti la chama,mzalendo na...
Ningeomba makamo wa Raisi Galib Bilal atuombe radhi vijana wa leo kwa kutuita .com.Nikisikia kwa masikio muda mfupi uliopita katika Taarifa ya habari ya ITV mida huu ,alisema vijana waleo .com...