Mkutano wa kikubwa chadema square | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa kikubwa chadema square

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Amina Thomas, May 28, 2012.

 1. Amina Thomas

  Amina Thomas JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 272
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kumekua na kawaida siku hizi kuona mtu mzima akiwahutubia wanafunzi na vitoto vya mtaani tofauti na juzi pale jangwani ambapo kulikua na watu wazima kibao. Watoto husogea sio kusikiliza bali kushangaa kuona mtu mzima akiongea peke . Na utakuta mtu mzima sauti inamkauka kuhutubia watoto. Jamani wanafunzi na watoto msiogope kuja kwenye mikutano mikubwa kama ya juzi ili mje kujifunza na kuelewa mambo muhimu kuhusu taifa hili. Juzi sikuwaona au mliogopa magwanda? Magwanda ni rafiki na mnakaribishwa
   
Loading...