Watanzania wangapi ni sawa na mzungu mmoja? (nisaidieni nimjibu kikweta)

salosalo

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
596
278
Jamani nisidieni kujua uwiano sahihi wa thamani ya mzungu na mtanzania. WATANZANIA WANGAPI NI SAWA NA MZUNGU MMOJA? nahitaji jibu mapema ili siku idadi ya Wa-Tz(Zeluzelu) watakao uwawa wenye thamani sawa na Mzungu mmoja ikitimia nimkumbushe baba lizi yaani Kikweta aagize watendaji wake wawasake wauaji kwa siku tano kama ilivyofanyika kwa Mzungu mhoranzi aliyeuwawa huko Mara. Najua mpaka sasa albono zaidi ya 70 wameshauwawa kikatili na sijajua bado wangapi ili idadi yake ifikie thamani kama ya yule Mzungu.
Upuuzi mwingine ambao Mh. Myika alisahau kuujumisha katika mchango wake alipotolewa bungeni kwa kile kilichodaiwa kumtukana Kikweta. Roho inaniuma sana na lazima nimkumbushe Prezidaa idadi ikifika
 
Back
Top Bottom