dosama
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 912
- 957
Madaktari hawana imani tena na Waziri mkuu Pinda kwa sababu ni kigeugeu na mwongo na mazungumzo ya mara ya mwisho walivyokubaliana sio kama anavyouekeza umma na amekuwa mnafiki wa kupeleka hoja za mlengo wa serikali pekee.
Mara ya mwisho walimtaka makubaliano yawekwe kwenye maandishi akasema wamwamini atafanya lakini kawalika kimanga.
Na msemaji wao wamemuumiza na wa kusema juu ya mgomo ni Olimboka atakapo pona ndio atatoa tamko kwa kuwa ndio msemaji wao.