Kama wauwaji wa Watalii wamekamatwa ndani ya siku 2 kwann Olimboka ichukue Mieziiiii? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama wauwaji wa Watalii wamekamatwa ndani ya siku 2 kwann Olimboka ichukue Mieziiiii?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dosama, Jun 28, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mie sina imani na serikali kabisa ya CCM na kweli kesi ya nyani tunampelekea tumbili, iweje mtalii mmoja kuuwawa serikali yote ikahamia Serengeti na cha ajabu eti wahusika wamekamatwa na siraha zote na vilivyo ibwa.

  Najiuliza kwa nini kwa Olimboka wameunda tume tena wanaipa mwezi kuna nini nyuma ya Jeshi la Polisi na serikali ya CCM???? Hawa ni wauwaji
   
 2. R

  Ramso5 Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama watu waliotaka kuua wabunge wa mwanza miongoni mwao wamo bungeni na hawajakamatwa.pia na hawa wanajulikana lakini hawatakamatwa kama ilivyo kwa wezi wa EPA
   
 3. M

  Mta pter Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ata ukiwauliza vichaa wa Mirembe wanajua,gvn is behind the issue! Wanazidi kujilipa ela za wa tz,kwa tume za kishetani!!
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ofkoz nami nimeona jamaa wamenyakwa,,,,hapo ndo huwa nawaona polisi wapo makini,,,,lakini kama serikal inahusika tusitegemee chochote
   
Loading...