Wito: Tumpe Pole Dr. Ulimboka!. "Hata JK, Atakwenda Kumpa Pole!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,498
113,601
Wanabodi

Kwanza tuungane wote kumpa pole Dr. Stephen Ulimboka na kulaani kitendo kile.

Mimi ndiye nilyeanzisha ule uzi wa "mazuri ya JK", na miongoni mwa mazuri ya rais wetu, ni "mtu wa watu", hujitoa na kushiriki katika matukio mbalimbali ya shida na raha za raia wake, ikiwemo kujitoa sana kushiriki misiba na kuwafariji wagonjwa mbalimbali kwa kuwatembelea mahospitalini, hivyo japo mimi sina nasaba yoyote na Sheikh Yahya Hussein (RIP), lakini natabiri rais JK kutinga Moi, kumpa pole Dr. Stephen Ulimboka kwa maswahibu yaliyomfika!, hivyo natoa wito kwa sisi wana jf, katika umoja wetu, au mtu mmoja mmoja mmoja, kuungana na Watanzania katika kumfariji Dr. Stephen Ulimboka.

Japo mimi siungi mkono mgomo wa madaktari, lakini nalaani vikali kitendo alichofanyiwa Dr. Stephen Ulimboka!.

Kupigwa kwa Dr. Ulimboka, kumepelekea kutengenezwa kwa "conspiracy theories" mbalimbali kuhusu tukio hilo, na wengi ambao sio deep thinkers, wamesha reach conclusion kuwa hiyo ni "inside job" na imefanywa na vijana wa 'sehemu' wajulikanao kama "the oparatives" ndani ya 'sehemu'!, hivyo ni muhimu sana rais JK kama Amiri Jeshi Mkuu, kwenda kumfariji Dr. Ulimboka, with "genuine heart felt feelings za pole" katika move ya kuuthibitishia umma kuwa uvamizi ule is not "inside" job, bali umefanywa na wahalifu, kama uvamizi mwingine wowote!.

Nawaombeni wana jf wenzangu, "please don't assume or insinuate any rush conclusions", tuwe wavumilivu na wastahimilivu kusubiri majibu ya ukweli ambayo its only "time will tell"!.

Kilichomtokea Dr. Ulimboka sio kitu kigeni, na sio mara ya kwanza kutokea kama alivyodai kamanda Kova, bali Dr. Ulimboka is such lucky guy who will "live to tell"!, wenzake kama kina Bazigiza, wale wafanya biashara wa madini, Wakili fulani, Prof. Jwani Mwaikusa na wengine wengi, they were not so lucky!.

Huu pia ndio wakati muafaka wa kujadili, hawa "oparatives" what are they capable of and what they are not, ili tupate "clear conscious" what is "inside job" and what is "isolated events"!.

Lets, wish Dr. Stephen Ulimboka, a speedy recovery!

God Bless him!.

Get well Soon!.

Pasco.
 
Get well soon dr.....
sijui kwa nini habari hii imenijengea kinyongo kibaya namna hii na serikali yangu.......
 
Get well soon dr.....
sijui kwa nini habari hii imenijengea kinyongo kibaya namna hii na serikali yangu.......
Pole Preta, nimesisitiza sio lazima iwe ni inside job!, it migh be an "amaizing coincidence"!. Nijuavyo mimi, wale vijana wa kazi!, They never do incomplete job!. They have 1001 ways to do "mission complete" za vanish without trace!, kuliko hii "mission imposible" iliyotokea!.

Utaifa "patriotism" ni kupenda nchi yako na watu wake wakiwemo ...!.
 
pole zangu za dhati ziende kwa watz wavuja-jasho na masikini wasioweza kukwepa kimbunga kilichoanzishwa na akina Ulimboka na wenzake..hawa hawana wa kuwatetea na wameachwa wafe a slow, hopeless and painful death.
 
Pasco thanks kwa thread Nzuri. Dr Ulimboka pole sana, my prayers zipo nawe hadi upone. Pasco nakubaliana na wewe kwa upande mmoja, kwamba ni inside job. The way ulivyosisitiza kuwa inawezekana sio inside job pia sisitiza kuwa ni inside job.

Vyote vinawezekana. Those operatives wanaweza kuwa walikwamisha na kitu. They are not God. Mipango ya Mungu ni tofauti na binadamu no matter how good they are. Mara ngapi mission za CIA, SEAL zinakwama?

Huu mgomo mpya mawziri, katibu mkuu wanaogopa kumwaga unga, serikali dhaifu inaogopa kuaibika nchi za nje hivyo uwt ama wauaji wakapewa kazi. Sins inanimate na serikali ya tz kwani imekuwa ikiuwa wananchi wake ambao katiba inawapa haki ya Kuishi. Kombe, na wengine
 
Kazi nzuri ila umechelewa. Mambo yote sasa hadharani. Dola zote kandamizi huvaa ngozi ya kondoo lakini ndani ni mumiani na mikono yao imejaa damu na vilio vya watu
 
Nafikiri Nyuzi nyingine zinaanzishwa makusudi kupima public opinion.

Wambie tu kwamba Kitendo hicho walichokifanya kimezidi kuwatenga na wananchi na hakitawasaidia na hata kama wangefanikiwa kummaliza isingewasaidia.

Kinachotakiwa ni kutatua kiini cha matatizo na sio mabavu
 
pole zangu za dhati ziende kwa watz wavuja-jasho na masikini wasioweza kukwepa kimbunga kilichoanzishwa na akina Ulimboka na wenzake..hawa hawana wa kuwatetea na wameachwa wafe a slow, hopeless and painful death.
Death zote za sickness ni slow, na painfull na zote hutokea at the stage of hopelessness ila no matter how much hope is there, at the end of the day, wa kufa watakufa tuu kwa mgomo au bila mgomo, saa ikifika ni safari tuu!.
 
Hii ni kabisa waziwazi inaonesha kuwa si Serikali ilyofanya haya, nasema tutayajuwa tu.

Nimesema posts zingine na nasema sasa hivi, hawa watu waliofanya haya hawaitakii mema Serikali inayoongozwa na Kikwete.

Ukweli utajulikana.
 
Pasco kwahiyo hapa unatuaminisha wale vijana wa Inside job huwa hawaachi viporo, it means hata kwa Mwakyembe watakuwa hawahusiki!?

Anyway kwa ukuta uliowekwa badala ya daraja kati ya watawala na wananchi, mioyo ya Watanzania waliowengi imevimba kwa chuki dhidi ya huu utawala dhalimu, nadhani Pinda hilo Tamko lake la kipuuzi analotaka kuritoa leo Bungeni aachane nalo, maana ataamsha hasira zaidi za watu.
 
Last edited by a moderator:
Death zote za sickness ni slow, na painfull na zote hutokea at the stage of hopelessness ila no matter how much hope is there, at the end of the day, wa kufa watakufa tuu kwa mgomo au bila mgomo, saa ikifika ni safari tuu!.
hii ni oversimplification yenye nia ya kuplay-down madhila ya mgomo wa akina Ulimboka katika utoaji huduma za afya na kunusuru maisha. maana kama hoja ni 'saa kufika' basi tufunge huduma zote za afya tusubiri 'saa ifike'..mimi na wewe tunajua ukweli kuwa kuna maradhi mengi tu yanayozuilika, hakuna mtoto mdogo wa kudanganyishia pipi.
 
Nawaombeni wana jf wenzangu, "please don't assume or insinuate any rush conclusions", tuwe wavumilivu na wastahimilivu kusubiri majibu ya ukweli ambayo its only "time will tell"!.

Kilichomtokea Dr. Ulimboka sio kitu kigeni, na sio mara ya kwanza kutokea kama alivyodai kamanda Kova, bali Dr. Ulimboka is such lucky guy who will "live to tell"!, wenzake kama kina Bazigiza, wale wafanya biashara wa madini, Wakili fulani, Prof. Jwani Mwaikusa na wengine wengi, they were not so lucky!

Pasco,
Naheshimu mawazo yako kama ulivyoandika, lkn hayo mawazo yako hayawezi kuondoa ukweli kwa kuanza kuandaa mazingira kama wewe na wengine mnavyofanya. Pia, hapo pekundu unalenga kutuaminisha kwamba kuna ukweli utapatikana kutoka wapi? Jeshi la Polisi? Usalama wa Taifa? huo ukweli unaouongelea utapatikana kupitia njia gani?

Pasco, kwa yaliyotokea watnzania hawahitaji sana theory zako ndipo waamini uhalisia wa tukio lililotokea. Hizo coincidence unazozipigia debe hapa wewe unajua ni kwanini umeamua kujitokeza na kuanza kutetea watu hapa kwa kisingizio cha ukweli kupatikana, toka wapi?
 
Hii ni kabisa waziwazi inaonesha kuwa si Serikali ilyofanya haya, nasema tutayajuwa tu.

Nimesema posts zingine na nasema sasa hivi, hawa watu waliofanya haya hawaitakii mema Serikali inayoongozwa na Kikwete.

Ukweli utajulikana.
Unachokifanya wewe ni kukimbiza upepo au kwenda kuikausha bahari, sidhani kama utafanikiwa kwa hilo. wewe endelea tu kunufaika na huu mfumo kandamizi wa CCM lakini note it kwenye Ubongo wako kwamba ur days are numbered.
Ni CCM peke yake ndio imebakia madarakani katika vyama vyote vilivyokuwa tawala barani Afrika. unapaswa kujiandaa kisaikolojia kuanzia sasa.
 
Pole Preta, nimesisitiza sio lazima iwe ni inside job!, it migh be an "amaizing coincidence"!. Nijuavyo mimi, wale vijana wa kazi!, They never do incomplete job!. They have 1001 ways to do "mission complete" za vanish without trace!, kuliko hii "mission imposible" iliyotokea!.

Utaifa "patriotism" ni kupenda nchi yako na watu wake wakiwemo ...!.

You sound like an expert in such operations comrade!
 
Back
Top Bottom