Who is behind this stupid method of threatening our doctors | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is behind this stupid method of threatening our doctors

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MFURUFURU, Jun 27, 2012.

 1. M

  MFURUFURU New Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kama nchi ikianza umafia juu ya watu wake hiki ni kiama.
  Njia ya maridhiano ikishindikana inabidi kutumia umafia kaeni chonjo watu wote mnaotetea maovu.
   
 2. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pinda ,Kova, Mwema
   
 3. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hujui tabia za mkuu wako wa nchi? Umesahau yaliyompata Babu Seya? Ya Mahalu je? ya Dkt.OAJ Zanzibar? na ...
  I only say that: JJ Mnyika take care, mkwer* knows how to "deal" with his enemies.
   
 4. p

  pj0409 New Member

  #4
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kweli hii nihali mbaya sana na inakatisha tamaa kwa wana taaluma wetu ambao wamekuwa wanadai haki yao kwa muda mrefu,vitisho,ugaidi na mambo kama haya ka ma yaliyomkuta Ulimboka ni vitendo visivyo kubalika na kamwe watanzania wazalendo wasikubali kubariki matendo haya,watu wanadai haki zao wanahatarishwa maisha yao wakati kuna watu wamekaa tu wanafanya michongo mabilioni y afedha yanaingia tu kwenye akaunti zao halafu ndiyo hao hao wanasema serikali haina fedha za kuwalipa madaktari,billioni 300 watu wanajichotea kirahisi,hazina inatoa 3.5bilions ikiwa ni 1.5bilion extra(fedha iliyochakachuliwa) katika kipindi cha siku 7 halafu bado serikali inasema haina fedha,na kudiriki kutaka kuondoa maisha ya daktari kwa kusimamia na kudai haki za wanataaluma hao,mimi kwa kweli nasema sasa hivi hata hao madaktari BINGWA wanapaswa kuanza mgomo nao,kwa tukio lililotokea daktari atakayeendelea kufanya kazi ni kama vile anaunga mkono kitendo alichofanyiwa Ulimboka,Mungu amponye kijana wa watu!
   
 5. M

  Msee Lekasio Member

  #5
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upole wa watanzania (ambao mimi nauita ujinga wa nyumbu wa serengeti) ndio unatumaliza. Hili ni tukio la kulaaniwa na wananchi wote wa Tanzania bila kujali cheo, chama cha siasa au kazi. Inatakiwa serikali ione hasira za watu la sivyo kesho watarudia tena yaleyale kwa mtu mwingine ...
   
 6. p

  pj0409 New Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vitendo visivyokubalika kabisa!
  :mad:
   
 7. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa hii staili alshabab cha mtoto sababu wao huwa wanasema wakifanya shambulio kwamba wamehusika.Nimemsikia kova akisema kuwa wanafanya msako wa nguvu kuwatafta wahusika! My God this is beyond ridiculous men!
   
 8. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Watanzania msilalamike mliyataka wenyewe! Hiyo serikali mnayoilalamikia haikuingia msituni na kutwaa madaraka! Ni ninyi wenyewe kwa ushabiki wenu wa Yanga na Simba katika siasa mlipiga kura kama vipofu. Tulieni mkamuliwe vizuri hadi hapo mtakapopata mang'amuzi mwaka 2015.
   
 9. Kiberega

  Kiberega Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  We all know it, GoT operatives!
  They did this to Kubenea,Mwakyembe.....Kolimba, Gen Kombe...
  The list is long.

  When it happen to poor citizens, theculprits are never found.
  When it is to do with GoT official and fellow Foreign louters,
  the GoT arms work perfectly.

  albinos cry, invain.
  Youngsters die on drug while dealer rejoice!
  Swindler hide Billions abroad, the arms deny any Tanzanians
  involvement; despite Interpol and other sources proof!

  What are we waiting for? God is not gonna help. Uproot GoT
  is the solution.
   
 10. L

  Lorah JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mfurufuru unatibu tumbo la kuendesha.... tusaidiane kuambiana dawa mbadala lol
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,945
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  the solution is absolutely correct. I concur
   
 12. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  too low for them,hapo ndo wamefikia busara zao za mwisho!
   
Loading...