Utakubari tu ccm ni dhaifu,check

jobe ayoub

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
203
99
mbunge wa ccm atoa chozi bungeni,akisikitika juu ya serikali yake kushinwa kuwakamata
wauaji wa Albino(walemavu wa ngozi) lakini wameweza kuwakamata wauaji wa Tembo..
tembo ni bora kuliko albino..mamaaaa weeeeeeeeeeeee ccm!!

NB:
VIONGOZI WETU NAO:
LISSU:swali kwa PM
If you have done the best everything in your power and failed why dont you resign?'
PINDA:ajibu
Mhe.Lisu lugha hiyo si nzuri sana.....mimi nakuheshimu sana umri umesogea unataka nikafie huko kijijini nini? kwa taarifa yako hata mpige mayowe sitoki wewe hujui spika yupo nyuma yangu mfano halisi si uliona vile visahihi vyenu na ZITTO viilishia wapi au nikuwekee uso wa mbuzi?
LIWALO NA LIWE!!!
 
Sasa na taarabu umeweka za nini hapa, (great thinker)
Ameweka hizo taarabu ili kuonyesha udhaifu wa serikali ya ccm jinsi ilivyochoka kwa hoja!! Nashukuru kwamba hata wewe umeng'amua kwamba kauli ya Pinda ni sawa na mipasho ya taarabu!!
 
Back
Top Bottom