Maombi yangu binafsi e lowasa

kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,866
2,746
Kwakweli napenda kukuomba mimi binafsi na uyatilie mahanani maombi yangu. Tunajua vitu vingi vibaya vimesemwa juu yako lakini mimi naimani kubwa sana na wewe kwamba unauwezo wa kuikomboa hii nchi. Sawa watu wanasema wewe fisadi lakini kila mmoja ameona impact ya maamuzi yako kuwa yalikuwa na manufaa kwa nchi na taifa.

Maombi yangu kwako, kama inawezekana mtoeni huyo mizenguo pinda hicho kiti ukichukue wewe kwakuwa hakiwezi hata kidogo. La sivyo taifa litaangamia kwakweli.

Nawakilisha

kukumdogo jogoo
mtanzania mwenye uchungu na nchi
 
Kuku mdogo ni mtetea na sio jogoo, jogoo hata akiwa mdogo anaitwa kijogoo!. Jee wewe bado ni kuku mdogo au ni kijogoo?.
 
Kuku mdogo ni mtetea na sio jogoo, jogoo hata akiwa mdogo anaitwa kijogoo!. Jee wewe bado ni kuku mdogo au ni kijogoo?.

naona huyu ni mtetea, asubiri kidogo akomae, avunje ungo kisha atapandwa atage mayai..........
 
CCM hakuna anayefaa, mimi nakushauri kukumdogo aka kijogoo ujiunge na wazalendo kuipigania nchi yako
 
Ila el atleast alikuwa na maamuzi magumu. Kwakuwa ccm inamatahaira wengi na waliozidi ni wanawake na wanaojiita wasomi bora el apewe uwaziri mkuu yeye pekee ndio anafaa
 
Kwa sasa simuoni mtu mwenye uchungu na nchi atokaye ccm.Labda kutoka upinzani kwani kuna watu wanapenda tupate maendeleo
 
Ila el atleast alikuwa na maamuzi magumu. Kwakuwa ccm inamatahaira wengi na waliozidi ni wanawake na wanaojiita wasomi bora el apewe uwaziri mkuu yeye pekee ndio anafaa

Alipewa akanyea,never come twice!
 
Kwa sasa simuoni mtu mwenye uchungu na nchi atokaye ccm.Labda kutoka upinzani kwani kuna watu wanapenda tupate maendeleo
Nahisi unawazimu na kichaa wewe,umechoka kula ugali.huyo wa upinzani bora ni nani.wote mabwezubwe tu,kumbuka siasa ni propaganda hamna cha ccm wala chadema wala cuf,heri kubaki bila Chama kulikoni upuuzi huu.fanya kazi kwa bidii ule jasho Lako usitegemee hayo magubegube ya vyama.vita vikitokea hapa Tunakufa si si wao na mitoto Yao wanakimbiilia ulaya kula bata.kuwa na mawazo ya kikubwa.
 
Back
Top Bottom