Hebu tuendelee kupata burudani na ujumbe huku tukitafakari hatma ya Dr Ulimboka na mgomo, Vijisent vyetu kwenye mabenk ya Uswiss pamoja na Ujio wa vikwazo vya kiuchumi kwa kuwaunga mkono Irani...
Kwa vijana walioajiriwa na kwenye vibanda vya Tigo Pesa, MPesa, Zpesa, Airtel Money au kwa wenye ndugu walioajiriwa huko, kaeni chonjo, sasa hivi kuna mambo yanaendelea, hamko salama hata kidogo...
Haya ..niko Arusha,Mkutano wa Bank ya Maendeleo ya Afrika (African Development Bank) kwa hapa umekuwa hosted na Wizara ya Mkulo(nakumbuka tulikaa vikao vingi sana kuhakikisha mkutano huu...
Mamlaka ya Usafiri Baharini Zanzibar Maritime Authority ZMA ni Mamlaka iliyoundwa kwa sheria No. 3 ya mwaka 2009 ambayo pamoja na kazi nyengine inasimamia utekelezaji wa Sheria ya usafiri wa...
Activists raise red flag over Tanzania land deal
By MIKE MANDE
THE EAST AFRICAN
Posted Saturday, June 30 2012 at 12:40
An independent watchdog is piling pressure on the United States...
Mh, Kumbuka ulipotoka, kumbuka shida na taabu tulizokuwa tunapata pamoja, kumbuka machungu ya huku nyuma ambapo, mlo tu wa siku ni shida, kumbuka gharama za kusomesha, kumbuka taabu za huduma ya...
huenda kichwa cha habari kikamfanya msomaji adhani kuwa mimi ni mfuasi wa ccm. la hasha! mimi ni mzalendo nilie na uchungu na nchi yangu. nchi kwanza vyama baadaye.
baada ya tafakuri ya kina...
kuna tetesi kuwa baada ya serikali kusema kuwa daktari asiyetaka kazi na aache,sasa ni zamu ya manesi.hii inatokana na ukweli kuwa madaktari walikuwa wakipigania maslahi ya watu wa afya kwa ujumla.
Jamani naomba kujuzwa kama kuna yoyote anayejua hili swala la mkuu wa kaya kauwauzia wamarekani hekari laki nane huko Lindi na Mtwara. Kuna ukweli? Kuna rafiki yangu yuko huko tulikuwa tunaongea...
Hii nimeiona kwenye taarifa ya habari jana usiku
watoto wadogo walipokwenda kumwaga uchafu wa maganda ya miwa kwenye jalala wakati baadhi ya taka zingine zikiiungua ndipo ghafla kumbe chupa ya...
Kama Haya Anayoongea Jakaya Ni Kweli........... Basi Nadeclare Interest Kuwa Madaktari Wanatuua Bure Sisi Wanyonge. Jamani Watumishi Wa Umma Kama Walimu Hali ndo Mbaya Kabisa Bt Tunaendelea...
Mtandao wa utoaji vibali bandia katika mkoa wa Arusha umeingia sura mpya baada ya kinara wa shughuli hiyo kuanza kushughulikiwa na Makao makuu. Kinara huyo ambaye amekuwa akitamba kwa muda mrefu...
Kinachotusadia ni kwamba hakuna anayenijua jina langu halisi na wengi siwajui.
Hivi kila mmoja wetu angekuwa analazimika kuonekana ID yaani jina lake halisi na mahala unapokaa, hivi tungebaki...
kwa mujibu wa vyanzo vya ndani kutoka hospitali za Rufaa nchini,inasemekana kuwa Viongozi wa kisiasa huwa wanalazimisha kupelekwa nje kutibiwa hata kama wanaumwa malaria.......TUAMKE
kwa faida ya wananchi,serikali inatakiwa kujifunza namna ya kuepuka kutokea kwa migomo: chanzo chanzo cha migomo nini? serikali lazima ijue chanzo cha tatizo na kulitatua mapema sana(kinga ni bora...
Juzi juzi walivamiwa watalii bahati mbaya wengine waliuawa na kuibiwa..kilichotokea serikali ilitoa helkopta na mkuu wa operation wa polisi wakasaka mtaa kwa mtaa na kuwapata baadhi ya...
Jana zilizagaa habar kuwa kuna madaktar wapya wataletwa,kama serikali ndo imefikiria hivyo,nahis ujio wa hao madaktar wapya utaleta ajira kwa kada mbalimbali za watanzania,kwanza wataalam wa lugha...