SERIKALI dawa ya MIGOMO hii hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SERIKALI dawa ya MIGOMO hii hapa!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by varavara, Jul 1, 2012.

 1. varavara

  varavara JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 80
  kwa faida ya wananchi,serikali inatakiwa kujifunza namna ya kuepuka kutokea kwa migomo: chanzo chanzo cha migomo nini? serikali lazima ijue chanzo cha tatizo na kulitatua mapema sana(kinga ni bora kuliko tiba):matokeo ya tatizo(migomo) serikali inaangalia zaidi matokeo ya tatizo badala ya kutafuta chanzo na kutafutia ufumbuzi mapema kuepusha mtafaruku.NB: watanzania sasa wanaelewa,wanaelimika,wanafuatilia mienendo ya serikali kwa hiyo SERIKALI ya CCM kwa sasa inaugua mahututi, mpaka 2015 itakufa kabisa!
   
 2. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  wakae kwenye mazungumzo watatue na mgomo uishe,wasitunishiane misuri,wanaoumia ni rahia masikin
   
 3. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo kama serikali ikigundua tatizo la wafanyakazi wake ni mishahara midogo, iwajaze mipesa mapema kabla hawajagoma. Lakini utashangaa pamoja na kugundua tatizo ni mishahara midogo, lakini serikali imekataa kuwajaza mipesa madaktari ili wasiendelee kugoma. Au hii serikali inapenda migomo?
   
 4. D

  Doctorbeat Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  For Sure.
   
 5. majany

  majany JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hapa burundi tu dr analipwa USD 1,500.....hv huyu wa tz tungempa gross ya 2million,isingewezekana??
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tumezoea kuzima moto sana.ukifuatilia utagundua chanzo cha mgomo huu wa madaktari kimekuwa ni kilekile miaka yote na mbinu za serikali ni kuahirisha tatizo.
   
 7. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mtowa mada mi wasiwasi wangu pengine hata 2015 wasifike wanaweza kufa hapa katikati kabla ya 2015 guvu ya uma ikawatoa
   
Loading...